3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Ungekuwa kitengo cha usajili ndio unasajili mtu kwa mechi 1 uliyomuona?Manula ni shati bhana, huna haja ya kumpima kakolanya kwa mechi nyingi ili ubaini ubora wake
Mchezaji mzuri huonekana siku ya kwanza tu unapomuangalia uwanjani,
Sikatai ubora wa hao makipa wengine ila sio kwa hoja hz.