Story ya kusisimua kuhusu Jaymoe na Langa

Huyu dogo kilichomponza unyamwezi mwingi....kugongea bangi maskani
Maana watoto wa kingoko walikuwa
Hawaambiliki

Ova
 
Kwanza naenda kwa pusha
Nanunua mapuri ganja
Baada ya kuvuta
Nakula vizuri nyama
Kilo ya kuku mbuzi au hata ng'ombe sana
Nikishashiba nahamia kwenye pombe
Mitungi nna kreti sigara nna pakti
Kamwe haunikuti nimelala kwenye pati
Huwa siingii kati naegemea ukuta
Nakamata viuno vilivyolegea mfupa
Na huyu akichomoa mi namchomekea yule
We wanakuchuna mi wananigea bure
Mchunge mke nna sumu kama nge
Niko full ka'ikulu sipigi kazi za nje
Namwaga radhi
Nafanya vitukoo
Naspend hadi nachana mifukoo
Simsumbui mtu mi nna starehe zangu
Maisha yenyewe mafupi sijui tarehe yangu...!.
Kama una familia ni bora usiniige mimi/
Hukawii kuuza nyumba usipokuwa makini.
 
Story ya Jaymoe na Langa iko hivi kwenye wimbo ya Jipange wa Jaymoe , Kuna mstari jay moe anasema

" Amani kwa kaka voda milionea/ Wastue wadogo zako waache poda wale mmea/

Hapa alikua akijaribu kumkumbusha Kaka voda awastue kina langa kua Unga sio mzuri

Langa Ni kama alipanic akaja kujibu

Amani kwa kaka voda milionea/ mwambie moe aache ushoga na umbea/

Kupitia hii line Jaymoe alihuzunika sana kwanini anajaribu kuwakumbusha kina langa kuacha matumizi ya unga ila anatukanwa, Haikuishia hapo

Baada ya Langa kuja kustuka kuwa madawa yanamuharibia akaanza kujirudi akatoa project kadhaa na zikafanya vizuri tuu

Mfano Am supplying & Rafiki wa kweli na Kifo jela ah taasisi

Sasa kipindi langa anajitafuta kurudi mainstream baada ya kutoa Am supplying , Kipindi anafanya ngoma ya Rafiki wa kweli ,iliyofanyiwa production na P funk majani,akawa anataka kwenye hii ngoma ya Rafiki wa kweli amshirikishe Jay moe , Lengo ilikua ni kuwaonyesha watu kuwa yeye na Moe hawana matatizo

Alivomtafuta jaymoe ikashindikana coz jaymoe alikua bado ana hasira kwann Langa alimtukana kwenye ile line ya

"Amani kwa kaka voda milionea/ Mwambie moe aache ushoga na umbeya"

Bhas ikabidi langa akomae mwenyewe ngoma nzima ,na ilivotoka ilifanya vizuri sana,

Ikabidi Langa kwenye Ngoma ya Kifo,Jela au taasisi aliweke sawa hilo swala

Kuna line anasema

"Amani kwa kaka voda milionea/ Mwambie Moe sili poda wala mmea/

Tukirudi kwa Jay moe, anakiri alivopata habari kuwa Langa amefariki, Alilia sana, na sababu kuu iliyomfanya Moe akalia ni kwamba kipindi Langa yuko hai alijaribu kumtafuta moe mara kadhaa ili wamalize tofauti zao ,ikiwa ni pamoja na kushirikishwa kwenye wimbo wa Rafiki wa kweli ila kiburi chake kikapelekea mpaka Langa anafariki hawaja maliza tofauti zao

Moe anasema hiki kitu kinamuuma sana.

Moja ya line kali nnazozikubali kutoka kwa the late langa ni

Wananichekea usoni kisogoni wananisema/
Wanatafuta mabaya wanajifanya hawaoni mema/

Rest in peace Lyrical And Naturally Gifted African (LANGA)
Kisichoniua kinanikomaza kiaskari
Unaponichukuia unadhihirisha me mkali
 
Huyu dogo kilichomponza unyamwezi mwingi....kugongea bangi maskani
Maana watoto wa kingoko walikuwa
Hawaambiliki

Ova
Yan Langa agongee bangi 🤣🤣 labda unazungumzia mtu mwingine mkuu. Rudi field ufanye research yako tena
 
Yan Langa agongee bangi [emoji1787][emoji1787] labda unazungumzia mtu mwingine mkuu. Rudi field ufanye research yako tena
Hajui anachongea hata hajui wasifu wa langa nadhani [emoji2957]
 
Yan Langa agongee bangi 🤣🤣 labda unazungumzia mtu mwingine mkuu. Rudi field ufanye research yako tena
Alikua anagongea mwisho wakawa wanamchanganyia na poda kama Kwa chidi tu ndio yaleyale
 
Story ya Jaymoe na Langa iko hivi kwenye wimbo ya Jipange wa Jaymoe , Kuna mstari jay moe anasema

" Amani kwa kaka voda milionea/ Wastue wadogo zako waache poda wale mmea/

Hapa alikua akijaribu kumkumbusha Kaka voda awastue kina langa kua Unga sio mzuri

Langa Ni kama alipanic akaja kujibu

Amani kwa kaka voda milionea/ mwambie moe aache ushoga na umbea/

Kupitia hii line Jaymoe alihuzunika sana kwanini anajaribu kuwakumbusha kina langa kuacha matumizi ya unga ila anatukanwa, Haikuishia hapo

Baada ya Langa kuja kustuka kuwa madawa yanamuharibia akaanza kujirudi akatoa project kadhaa na zikafanya vizuri tuu

Mfano Am supplying & Rafiki wa kweli na Kifo jela ah taasisi

Sasa kipindi langa anajitafuta kurudi mainstream baada ya kutoa Am supplying , Kipindi anafanya ngoma ya Rafiki wa kweli ,iliyofanyiwa production na P funk majani,akawa anataka kwenye hii ngoma ya Rafiki wa kweli amshirikishe Jay moe , Lengo ilikua ni kuwaonyesha watu kuwa yeye na Moe hawana matatizo

Alivomtafuta jaymoe ikashindikana coz jaymoe alikua bado ana hasira kwann Langa alimtukana kwenye ile line ya

"Amani kwa kaka voda milionea/ Mwambie moe aache ushoga na umbeya"

Bhas ikabidi langa akomae mwenyewe ngoma nzima ,na ilivotoka ilifanya vizuri sana,

Ikabidi Langa kwenye Ngoma ya Kifo,Jela au taasisi aliweke sawa hilo swala

Kuna line anasema

"Amani kwa kaka voda milionea/ Mwambie Moe sili poda wala mmea/

Tukirudi kwa Jay moe, anakiri alivopata habari kuwa Langa amefariki, Alilia sana, na sababu kuu iliyomfanya Moe akalia ni kwamba kipindi Langa yuko hai alijaribu kumtafuta moe mara kadhaa ili wamalize tofauti zao ,ikiwa ni pamoja na kushirikishwa kwenye wimbo wa Rafiki wa kweli ila kiburi chake kikapelekea mpaka Langa anafariki hawaja maliza tofauti zao

Moe anasema hiki kitu kinamuuma sana.

Moja ya line kali nnazozikubali kutoka kwa the late langa ni

Wananichekea usoni kisogoni wananisema/
Wanatafuta mabaya wanajifanya hawaoni mema/

Rest in peace Lyrical And Naturally Gifted African (LANGA)
Rip mwanangu Langa hakika ulikua mtu wa watu
 
Amani kwa kaka Voda Milionea. Waambie wadogo zako waache ush*ga na umbea.
 
Back
Top Bottom