Story ya kweli: Vijana tujifunze kuchunguza wachumba kabla ya kuwageuza kuwa wake

Wanawake wa siku hizi kwa pesa ni hatari
 
Inaingia akilini kweli mtu mwenye silaha ie bastola anasikia watu wananyata kuja chumbani tena usiku anaamua kutoa magazini yenye risasi kwenye bastola balada ya kuwa angekoki tayari kwa action? Na mtu mwovu kama huyo mwanamke aliyetaka kuua unaamua asipambambane na nguvu za dola badala yake unamsemehe na kuamua hata kuuza nyumba ili umpe pesa? Sio kama nasema hii ni story ya uongo ila huyo aliyekuhadithia kuna mambo mengi behind the scene alikuficha....
 
Ukitaka ujue kuwa mwanamke ni kiumbe tata nenda nae guest una mzigo wa laki tatu na kuendelea alafu auone haki ya mungu hapati usingizi anakuchora usinzie yeye apite nazo nawashauri jaribuni kuwa makini na hawa watu sio ndugu zetu kama wanaume wengi wanavyofikiria ni marafiki zetu tu
 
Mkuu unajiamini sana aise__huu uzi unataka kuniambia huyo mjeshi hatouona!!! Kwa usalama wako omba mods waupige panga.....

 
Atanyumba asaihuze awardhishe watoto2 kwasababu atauzanyumba atampa pesa hukonikwenda kulea wanaume wengine wakati humetafuta kwashida husiuze NYUMBA kaka
 
Tamaa ya pesa akaona aangamize mumewe, hiyo pesa asingemaliza nayo hata mwaka ingeisha
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] fasihi andishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…