chuwaalbert
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 3,598
- 2,118
...Huu unaitwa MLANGO WA FAHAMU wa 6... Kama Wiily Gamba vile..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika huyu mjeda hataona huu Uzi??
Kuna tatizo huyo mjeshi akiuona?Mkuu unajiamini sana aise__huu uzi unataka kuniambia huyo mjeshi hatouona!!! Kwa usalama wako omba mods waupige panga.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] fasihi andishiJana jioni nilipata mwaliko nyumbani kwa rafiki yangu mmoja ambae pia ni kapteni wa JWTZ kikosi cha anga (Air Transport Station) hapo Majumba sita.
Baada ya kufika nyumbani kwake maeneo ya huku Kitunda, akanijuza anahitaji nimpe namba ya shemeji yangu flani.
Nikataka kujua anaitaka ya nini?
Bila kusitasita, akanijuza kwamba anauza nyumba yake iliyopo maeneo ya Kivule ili wagawane malipo na mkewe!!
NB:Nimeipata mahali
![]()
Usisahau Mama yako pia ni mwanamke.Wanawake ni hatari sana
Unaweza hata kuwekwa ndani wewe ukipenda.Kidadeki
Nilitaka mwaka huu niweke ndani
Kwa hasira naongeza miaka mingine mi5 [emoji51][emoji51][emoji51]