au ndio shemegi mtu....na wewe mtoa mada ndo ulikuwa mlinzi hapo.?
kipi mkuuNiliwahi mpiga mschana once nikiwa mvulana(n she wasn’t even my girl),mpaka leo najisikia vibaya!!
Kuna muda wanaudhi yaani hasira mpaka kooni afu bado wana mdomo,lakini kupiga nilishashindwa aisee.kitu kimoja tu kinaweza fanya nikamtandika...kimoja tu
ndo maana mm cjawai kunyanyua mkono wangu kumpiga mwanamke,,akiniudhi sana naingia chumbani,,,najifungia mlango,,,nazima na taa....kisha naangua kilio usiku kucha kisha asbh hasira zangu zinakua zimeisha,,,kuwapiga hawa viumbe saa zingine yataka mioyo,,,wengine wao wenyewe wanapiga balaa....
Wazima wa Afya nilimuahidi shemeji ntamtembelea tena siku si nyingi [emoji23][emoji23]sawa...wanaendeleaje dadako na shemegi yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
usije ukamla kiboga....Wazima wa Afya nilimuahidi shemeji ntamtembelea tena siku si nyingi [emoji23][emoji23]
This time akizingua tena atawasha moto juu ya majiusije ukamla kiboga....
duh, hayaThis time akizingua tena atawasha moto juu ya maji
Rejea mada flani ya Mshana Jr ”Matumizi ya Cha Kati kwa wanawake”...kipi mkuu
ndiyo mkuu hawezi niaibisha mbele ya kaka ake aliye kula posaSababu amekupiga ama[emoji23]