Mr. Marangu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 1,574
- 1,549
Ifahamike sitotaja jina la wahusika/mhusika
Kuna jamaa mmoja hapo kibaha alitembelewa na Shemeji yake (kaka wa mke wake)
Basi jamaa alishindwa kudhibiti tabia yake ya kumpiga mkewe na gubu lililopitiliza, wakiwa na mgeni (shemeji) usiku mmoja jamaa alianza kwa kulalamika mambo ya kipuuzi kisha akaanza kumpiga mkewe kipigo heavy.
Kaka mtu akaona huu ni ufala aliingilia ugomvi akampiga jamaa, akampiga jamaaa, yaaani akampiga jamaa mpaka jamaa akaiva.
Akapvunja vunja vyombo vya ndani kisha akawatoa jamaa na mkewe nje akawafungia nnje kisha akalala ndani yeye kama Afisaaa vile.
Asubuhi kulipo kucha jamaa akabeba kibegi chake akaweka kibegi chake begani kisha akasepa zake Chalinze kibingwa jamaa na mkewe wakaingia ndani nakwenda kujipumzisha kwauchovu wa mkesha.
#tupunguze ushababi mbele ya ndugu wa wake zetu...