Story yeyote uliyowahi kusikia kijiweni ukaona ni kamba (uongo)

Kranium

Senior Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
130
Reaction score
376
Nimeenda kijiweni siku moja baada ya kazi, nikaenda kubadilishana mawazo na kupoteza muda. Kuna jamaa alituambia hiyo story...nikabaki nacheka tu (Nashindwa kuiandika huenda yuko humu JF) kwa sababu atanijua. Nilicheka sana mpaka nikaenda home kuepusha ugomvi.

Niambie ya kwako..
 
Nilikuwa kijiwe flaniani huku chuganian, kuna jamaa yeye anatuambia anaota anakimbizwa hadi anaamka hajashikwa. Siku nyingine akatuambua aliota anaangua usiku mzima, tulitamani kulia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Actually, ilikuwa Uwanjani kwenye ziara ya Meko nikamsikia mkuu wangu wangu wa Wilaya anasema kuna viwanda elfu moja vmejengwa wilayani kwetu. Mstuko niliopata.
 
Kuna siku moja nilikuwa kijiweni kwetu kijiwe cha JF. Kuna mwamba akaja akatuambia siku moja alivyotoka kazini alipitia kijiweni anapopenda kupoteza muda baada ya kazi basi akaja jamaa yake mmoja akaanza kuwaadithia story ambayo alishindwa kutuhadithia kuofia jamaa yake ambaye tupo nae kijiwe cha JF kumshtukia, dah! Nilimuangalia nikaishia kucheka sababu najua jamaa hana kazi anatuongopea tu.[emoji124][emoji124]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo hapo kwa kufupisha ni kuwa unamwambia mkuu wetu muanzisha mada naye ametupiga kamba au Mimi ndo sijaelewa!?
 
Dah hawa jamaa wa AIM GLOBAL& FOREX kamba zao uwa nacheka sana.

AIM GLOBAL: Hii biashara nimafanikio tosha unalala naskini unaamka tajiri
Forex nao utawasikia: Kuna jamaa alianza kimasihara yaani dollar 10 tulakin mpaka sasa anamiliki nyumba gari n.k (kumbe anakuvizia hili akupate umpe pesa ya ualimu).
 
Kuna babu kipindi akiwa vitani na wanajeshi wenzake walitekwa, watekaji wakawaambia mateka kuwa wachague waliwe nyuma au wauwawe! cha kushangaza yule mzee bado yuko hai japokuwa alichagua kufa.
 
Me naona ungeenda kuchukua threads zote za kidukulilo uziamishie hapa.
 
Hapo kuna watu waongo sana aisee. Vipi ile hosteli pale jirani na mt uluguru hotel bado ipo?
 
Story za uongo humu zimejaa kwenye uzi wa kula tunda kimasihara na uzi ule unaohusu shuhuda za uchawi.
 
Kwamba corona imetokana na China kuwadhalilisha watu wa dini fulani na kuchoma moto kitabu chao.
 
kuna mchaga alimuuza mke wake kwa mfalme 3 wa madagsica yule mwinyi hakua na mke ili uwe mfalme ilibidi uwe na mke mchaga kuona ivo akauza mke na watoto ili apewe unaibu ufalme kitengo cha pesa ila wachaga noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…