Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Petit vunga wanachuo tupo darasanimkuu how old are you ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Petit vunga wanachuo tupo darasanimkuu how old are you ?
Petit vunga wanachuo tupo darasani
Sema kanungira muongo muongohahahaha [emoji23] powa mkuu
Leta nyingine bwana kanuCLASS CHATTING - 06.
SIKU YA SITA
Kama ni moto, tayari niliwashiwa na kuuzima ilikuwa kazi kubwa sana. Kuanzia siku hiyo, mbona mimi na Anita mambo yakawa supasupa tu.
Siku hiyo nilikwenda mpaka chuo, huko, kitu cha kwanza kabisa kuulizwa na wana, umemla? Sikutaka kuwaficha, nikawaambia ukweli kwamba sikufanikiwa kwa sababu wazazi waliharibu.
Wengi walionekana kuwa na furaha lakini nilipowaambia hatua niliyofikia, wakashika vichwa na kujisemea, Mungu wangu! Tumetunza hela zetu. Eti walimuwekea dhamana Anita, utamuwekeaje dhamana na wakati yeye mwenye alinifagilia msela wa Tandale.
Musa: Kwa hiyo ndiyo basi tena?
Mimi: Hahah! Hivi nyie mlikuwa mnanichukuliaje?
Rajabu: Unajua siamini!
Mimi: Kwa nini?
Rajabu: Huyu Anita, imekuwaje? Mbona kawa mwepesi hivyo kwako?
Mimi: Kuna kitu hamjakijua, nimemuweza kwa kuwa nimetumia uchawi wa kizungu.
Rajabu: Upi huo?
Mimi: Gari....
Wote: Hahaha!
Mimi: Ndiyo hivyo! Watoto wa kike unafikiri wanapindua unapokuwa na gari, hata demu wako usimuwekee dhamana kwa msela mwenye gari. Huu unaitwa uchawi wa Kizungu, upo kwa ajili ya watoto wa chuo na wale wa kishua, ila kuna uchawi wa kienyeji pia...
Rajabu: Upi huo?
Mimi: Chipsi kuku! Huu unatumika sana pande za Uswahilini, ukimtaka mtoto wa huko, mpe chipsi kuku, kiulainiiii unachukua.
Niliamua kuwaambia ukweli, walishangaa kwa nini Anita alinikubalia kwa urahisi sana. Unajua msichana anataka kuwa na maisha mepesi, msichana si mtu wa kutaka shida, anatamani kurahisishiwa kila kitu, yaani akisema anataka kwenda sokoni, basi aende kiurahisi na anaposema kwamba anataka kwenda chuo, asipate kashikashi ya kupanda daladala na kupakwa majasho ya watu.
Kwangu, nilimrahisishia maisha yake, kwenda chuo na gari, kurudishwa na gari, kuna nini tena? Mpaka hapo, washikaji wakajua kwamba tayari nilimaliza kila kitu. Darasani, mtoto alionekana kuchanganyikiwa, kila nilipokaa, alinitumia meseji za kimapenzi, zile za kucopy na kupaste, zilipofika kwangu, nikawa namjibu basi alikuwa akifurahi sana.
Anita: Una tabia mbaya Chilo.
Mimi: Ipi tena jamani?
Anita: Ndiyo nini kunifanyia vile mtoto wa mwanaume mwenzio?
Mimi: Hahah! Pole sana jamani....nilikuchafua sana?
Anita: Ndiyo! Basi mwenzako nilivyofika nyumbani, sikulala.
Mimi: Kwa nini?
Anita: Ningelalaje sasa? Nilipata tabu sana na kuhisi kama nakufa vile, uliniacha kwenye wakati mbaya sana.
Mimi: Kwa hiyo? Tuendelee tulipoishia?
Anita: Mmh! Hakuna tatizo! Ila isiwe kwenu, wakwe wasije wakaharibu tena....
Mimi: Usijali! Tutapiga mechi ya ugenini, haitokuwa bonanza...itakuwa mechi ya mashindano.
Anita: Nitafurahi sana jamani! Mmh! Ila jana....
Mimi: Pole jamani mpenzi....basi mechi inayofuata, nitakufurahisha, kwanza utavaa ya rangi gani siku hiyo?
Anita: Nini?
Mimi: Pichu.
Anita: Mmh! Wewe unataka nivae ya rangi gani?
Mimi: Yoyote tu...
Anita: Basi nitavaa nyeupe au pinki, au dhambarau...unapenda ipi hapo?
Mimi: Vaa ya pinki...itakuwa ya kawaida au kinibi?
Anita: Wewe unataka nivae ya aina gani?
Mimi: Vaa ya kawaida, hizi kinibi si mpenzi kivile....
Anita: Basi nitavaa kukuridhisha...
Nilichati naye sana, tulikuwa klasi na kila tulipochati, kama meseji ilimchekesha, aliniangalia na kisha kunichekea. Katika kipindi chote tulichokuwa tukichati, washikaji walikuwa wakifuatilia, wakati akiniangalia huku akicheka, washikaji walishika vichwa kwa huzuni kwa kuona wameliwa hela zao.
Ndivyo ilivyokuwa, sikutaka kuwa na presha sana, nilichokifanya ni kujifanya simba mzee ambaye sikuwa na haraka ya kuwinda. Nilifanya hivyo kwa kuwa nilitaka kuonekana mpole fulani hivi kwake.
Siku hiyo ilikuwa ni ya kuchati ila siku ya saba ilipoingia, tukapanga uwanja wa kuchinjana, yeye alitaka popote pale lakini pawe salama, nikamwambia haina noma, nikasema subiri nimpeleke Kingstone, Lodge fulani ipo Kijitonyama Mabatini, imejifichaficha hivi, mtu wa kwanza kuibuka nikawa mimi.
Mimi: Upo wapi baby?
Anita: Nipo njiani, umeshachukua chumba?
Mimi: Yeah! Namba kumi...utanikuta...
Anita: Basi usijali.....
Mimi: Umevaaje?
Anita: Mh! Si utaniona jamaniiiiiiiii
Mimi: Najua...hebu niambie kwanza jamaniiiii
Anita: Nimevaa kinguo fulani chepesiiiii...kinaonyesha mpaka ndani.
Mimi: Kweli?
Anita: Ndiyo!
Mimi: Ndani?
Anita: Nimevaa ya rangi ya pinki....kifuani sina kitu...nimeyaacha yenyewe yajiachie, yasibanwe.....
Mimi: Mmh! Leo kazi ipo.
Anita: Utanifikisha niendapo?
Mimi: Kwa nini usifikishwe? Hata ukitaka nikupitishe, poa tu...mimi si unajua mzee wa mashuti ya mbali...njoo ujionee....
Nafikiri huko alipokuwa alitamani pikipiki ipae afike fasta. Ngoja nikwambie ndugu yangu! Unaweza kuwa na hela, utajiri mkubwa lakini usipoweza kumfikisha mwanamke anapotaka, kazi bure tu, utapigiwa na sisi wauza mkaa na wakati wewe una mahela yako.
Ninapopata nafasi, sifanyi makosa, ninapiga mechi ya uhakika, itakayokumbukwa hata siku atakapoolewa. Ndivyo nilivyompangia huyu Anita. Hazikuchukua dakika nyingi, nikasikia pikipiki nje, nikajua ndiye mwenyewe...nikajikoki.
Mimi: Karibu....
Anita: Asante.
Alikuwa ameshaingia ndani, kipupwe kilikuwa kikipigwa tu, nilipomwangalia vizuri...haki ya Mungu nilichanganyikiwa. Kila mwanaume ana udhaifu wake, wengine kifua, wengine makalio, wengine miguu ila kwangu, mimi msichana akivaa nguo nyepesi, halafu nikaona pichu yake ile paleeee inaonekana, napagawa, ndivyo ilivyokuwa kwa Anita.
Nilipoiona kwa ndani, macho yakanitoka, udenda ukanidondoka, nilishikwa na hamu kweli. Mtoto akanifuata kitandani na kisha kunipiga bonge la busu lililomfanya mzee John kusimama harakaharaka. Kilichonichanganya zaidi, cheni ya gold aliyokuwa ameivaa kiuononi, nikaona leo kweli kazi ipo.
Anita: Nakupenda....
Mimii: Hata mimi.
Hakuna stori, hakuja hapo tuongee, alikuja kwa ajili ya mechi tu...kilichofuata..nikaanza hatua kwa hatua, nilitaka kumfikisha Chalinze na wakati nilijua dhahiri pumzi yake ni ya kwenda Kibaha...hivyo nikaanza kazi sasa.......
*****
Mtoto alikuwa chali, kazi yangu kubwa ilikuwa ni kumminya hapa na kule, alilegea, akakileta kifua chake juu, kazi yangu ikawa moja tu, kukifanyia utundu kifua chake.
Kiukweli kipindi cha nyuma sikuwa nikimpenda mwanamke anayevaa shanga au cheni, sikuona faida yake, kwangu kilionekana kama kitu cha kijinga sana, lakini siku hiyo ndiyo nikajua sababu ya wanawake kuvaa cheni au shanga au hata kuwa na kucha ndefu.
Kwa kutumia kucha zake, akaanza kuuparuaparua mgongo wangu kimahaba kitu kilichonifanya niwe hoi, kila alipouparua, nilitoa mguno uliomwambia, mamaa, endelea hivyohivyo.
Mpaka hapo nikaona kama vile nashindwa hivyo nilitakiwa kufanya kwa ujuzi wangu wa mwisho kabisa, sikutaka kuonekana mzembe, kama ningeleta ujinga basi hata mechi yenyewe isingeisha kwani kulikuwa na kila dalili wachezaji wangu wangezidiwa uwezo.
Hapo ndipo nikakumbuka kwamba mbali na kuishi Dar, mama yangu alikuwa mtu wa Tanga, hivyo nilikuwa na chembechembe za Tanga, sasa kwa nini nisimuonyeshee Anita kwamba nilikuwa noma.
Kama nimepata nguvu mpya vile, nikamvuta, nikambinua, mgongo ukawa juu, nikaanza kuukunakuna huku mkono wangu ukiuminyaminya uti wake wa mgongo, basi akapagawa ile mbaya.
Kwa kifupi ni kwamba siku hiyo chumbani hapo nilimaliza kila kitu, Anita alifurahi mno, kila wakati akawa ananipigia simu na kuniambia kwamba alifurahia mechi ile, ilikuwa ni ya ushindani na nilimpeleka vya kufa mtu.
Washikaji wakagwaya, hawakuwa na cha kufanya zaidi ya kunilipa mkwanja wangu kwani tofauti na siku hiyo, niliwachukua wawili na kwenda nao karibu na loji moja na kuingia na mtoto huku wao wakiwa kwa mbali wakiangalia.
Kuanzia siku hiyo, hakukuwa na mtu aliyetaka kuwekeana dau na mimi, walichemka wenyewe kwa kuona kweli nilikuwa balaa na sikutakiwa kuwekewa dhamana hata mara moja.
Rajabu: Chilo, hakuna kama wewe...haki ya Mungu tena...umemchukua yule mtoto, wewe balaa.....
Mimi: Hahah! Nyie mlifikiri mie mtoto mdogo...hii mashine kubwa....
Juma: Aya bwana...
Ndiyo ikawa hivyo...kuanzia siku hiyo nikawa najilia vyangu tu. Kwa sasa Anita ameolewa, ana mume wake lakini mara kwa mara amekuwa akinitumia meseji na kuniambia wazi kwamba hakuna mwanaume aliyewahi kumfikisha alipokuwa akielekea zaidi yangu.
Najisikia fahari, najisikia nina nguvu.....baada ya kuhangaika na wanawake, nilipooa, nikaamua kuachana nao na kutulia kwa mke wangu.
Asanteni kwa kuisoma hii stori yangu na Anita pamoja na wanachuo wenzangu niliowapiga hela kiboyaboya sana......!
MWISHO.
Sawa bwana mkubwaLeta nyingine bwana kanu
😅😅😅
Sasa hivi dogoSawa bwana mkubwa