Story za Mayele kuteseka Pyramids FC. Sababu ni hii

Mateke alikosea sana, maisha ni mzunguko hata kama aliporudi kucheza ligi ya Tanzania lakini kuna kesho anaweza kuwa mwalimu baada ya kustaafu soka akalazimika kuja kufundisha klabu za Tanzania. Huyu akikosa namba Pyramid lazima Simba imsajirili
 
Hata akienda Simba hawezi wika km alivyokua Yanga wapi FEI?
 
Kwa soka la tanzania hata leo hii mayele akisema anarudi tanzania yanga watamkimbilia na kumkaribisha kwa bashasha

Kuna mwana yanga aliamini manara anaweza karibishwa hapo jangwani, vipi kuhusu morrison?

Soka la bongo kwa mtu wenye ushawishi halina nongwa
 
Katika soka mambo yanafanana na siasa,hakuna adui,wala rafiki wa kudumu.
 
Hata akienda Simba hawezi wika km alivyokua Yanga wapi FEI?
Simba na yanga ni timu zinazofanana zote zina presha kubwa ya nje ya uwanja,,,mchezaji akitoka sehemu moja kwenda nyingine uwezekano wa kufanya vizuri ni mkubwa
 
Niyonzima ..tena hao yanga ndio kabisa hata fei wanaweza kumpokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…