Story za Mayele kuteseka Pyramids FC. Sababu ni hii

Story za Mayele kuteseka Pyramids FC. Sababu ni hii

Misingi ya timu za kiarabu ni kuwa na makocha wazawa, naona siku hizi wanawaajiri wazungu

Nahisi na hilo ni tatizo mojawapo pia

Mkuu zamani waarabu wa Afrika walikua pekee wanawekeza sana kwenye soka na walikua bora sana wakati timu zingine zikishiriki tu

Lakini hivi sasa timu nyingi zinawekeza na ushindani umekua mkubwa sana ndio maana wanaona waajiri makocha wa kigeni pia
 
Back
Top Bottom