Muuza madafu wa Ikulu JF-Expert Member Joined Feb 21, 2024 Posts 1,277 Reaction score 2,888 Feb 29, 2024 #21 Hance Mtanashati said: Na ajifunze kuweka akiba ya maneno. Click to expand... Chai
Mayu JF-Expert Member Joined May 11, 2010 Posts 7,621 Reaction score 12,505 Feb 29, 2024 #22 Msela Wa Kitaa said: Misingi ya timu za kiarabu ni kuwa na makocha wazawa, naona siku hizi wanawaajiri wazungu Nahisi na hilo ni tatizo mojawapo pia Click to expand... Mkuu zamani waarabu wa Afrika walikua pekee wanawekeza sana kwenye soka na walikua bora sana wakati timu zingine zikishiriki tu Lakini hivi sasa timu nyingi zinawekeza na ushindani umekua mkubwa sana ndio maana wanaona waajiri makocha wa kigeni pia
Msela Wa Kitaa said: Misingi ya timu za kiarabu ni kuwa na makocha wazawa, naona siku hizi wanawaajiri wazungu Nahisi na hilo ni tatizo mojawapo pia Click to expand... Mkuu zamani waarabu wa Afrika walikua pekee wanawekeza sana kwenye soka na walikua bora sana wakati timu zingine zikishiriki tu Lakini hivi sasa timu nyingi zinawekeza na ushindani umekua mkubwa sana ndio maana wanaona waajiri makocha wa kigeni pia