Story za mkeo/mpenz wa ndoa

Thanx Nakshi, b4 hatujaoana tulifahamiana sana na tabia zetu ziliendana vizurii tu bila mushkeli wala kadhia na udhia, this changes happens baada ya miaka kadhaa ya ndoa na story ninazopiga ni zilezile sijazibadili basi tu naona upepo mbaya umepita.
Mmmhhhhhh hapo kwenye nyota not interested i dont believe hata in those makitu, thanx anyways.
 
heheeeeeee haya bana, bed story inategemea njiani mlikuwaje kama tulinuniana njia nzima labda wewe ndo uanzishe...
 
will try that ila nature inatuumiza sana coz tunafeel prestige sana tukisikilizwa hasa kwa umakini sijui mungu aliweka nini huku mioyoni mwetu hadi tukawa tunaenjoy sana tukisikilizwa
 
we cheka tu na usiombe yakukute looh inachosha na kukera kwa kweli, usije ukamfanyia hivo mkeo kwakweli

unajua nini sakapal? huwa una vijistory fulani hivi vya ndani ndani kabisa yaani, sasa mi huwa vinaniacha hoi kabisa, so hapa umenikumbuka ile comment yako ya 'sogeza huko miguu yako bwana' ahaaaa,kaazi kweli kweli haya mapenzi!
 
mimi ku,be nipo tofauti manake ninavypenda stori hadi nitaonekana mbea sasa
 
unajua nini sakapal? huwa una vijistory fulani hivi vya ndani ndani kabisa yaani, sasa mi huwa vinaniacha hoi kabisa, so hapa umenikumbuka ile comment yako ya 'sogeza huko miguu yako bwana' ahaaaa,kaazi kweli kweli haya mapenzi!

ukishakaa kwenye ndoa miaka kadhaa sometimes naona unakuwa kama umedata flani hivi, kweli yanatokea mengi vyumbani mwa watu na ukifanikiwa kujua story/siri za vyumba vya wanandoa utastaajabu zaidi ya kuyaona ya firauni.
 
kweli kabisa yaani, nadhani hiyo ndo ile inaitwa 'kua uyaone'
 
Ina maana Snowball ndo huyo huyo mzee wa kukuchunia au ushaamua kumpanga awe backup kabisa kikilia unajishikiza?

Mambo haya!

I thought u come to say sorry for calling my love bazazi.....

hapo kwenye underline we unaonaje?
 
Ina maana Snowball ndo huyo huyo mzee wa kukuchunia au ushaamua kumpanga awe backup kabisa kikilia unajishikiza?

Mambo haya!

Kiranga very soon utakuwa our next king of MMU lol
this one is under the belt lol
 
I agree with you PetCash!
 
Last edited by a moderator:
I thought u come to say sorry for calling my love bazazi.....

hapo kwenye underline we unaonaje?

Mi napinga wake wa watu kujishebedua na vijana watanashati wa JF.

Kama mzee wa kuchunia anavyokuwa anafanya emotional neglect/cruelty, wake za watu wanaojimwayamwaya na vijana watanashati wa JF kimalavidavi kuitana majina ya kipenzi na mabusu teletele nao wanafanya emotional cheating.

Mara kidogo vi-PM, kubadilishana namba, mara una story lakini mumeo hakusikilizi umempigia Snowball, mara Snowball kakuita kisehemu cha karibu mzungumze vizuri, mara umemlalia kifua, mara mmehamisha kikao ndani anakwenda pale ndani ya kumi nane hatari langoni eeeeeeeeeeeeeh, wasikilizaji, mambo si mambo katika uwanja......

Unajikuta ndo vile tena.

Na unaweza hata kujifariji kiuongo kwamba hukusababisha wewe mambo.
 
Read carefully my thread, i didnt mean her to go kwa kalimanzila o wharever his name i told her to cheki in google about Zodic
It seems ur are very superstition person and also ur lack of perceives
 
Read carefully my thread, i didnt mean her to go kwa kalimanzila o wharever his name i told her to cheki in google about Zodic
It seems ur are very superstition person and also ur lack of perceives

Zodia ndo Kalumanzila mwenyewe tena. Kwani tofauti nini?

Nionyeshe superstition yangu iko wapi na lack of perception iko wapi.
 
Its like this, u dont know me, I dont know u, Ijust found u here in JF as we r all members. I didnt enterfear ur life so my life with SnowBall inakuhusu nini? inakuuma mimi kuwa na SnowBall, after all wengi hapa ni behind the scenes.
Pamoja na kutokukufahamu wala kujua umri na jinsia yako, nakuheshimu as i used to respect everyone, nimechukia kuniambia najishebedua am sorry and am sorry but pls dont do that again!!!!
Vijana watanashati wa JF unawaangalia kwa avatar au? kama watu wanafahamiana out of JF au hawafahamiani wewe inakuuma nn? changia thread then unasepa, na ukiona unaboreka zima computer yako au zima simu yako ulale sio ukwaze na kufatilia maisha ya watu.
Naomba habari zangu na SnowBall uniachie mwenyewe haikuhusu haikuhusu hata kidogo, KIRANGA haihuuuuu....
Mdomo ni mali ya mtu kuongea vile atakavyo but with respecting one another,
Pinga unachopinga ila sio kunidadicate mimi na kutaja id zetu as unavofikiri wewe
Please i need my respect
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…