Story za mkeo/mpenz wa ndoa

Story za mkeo/mpenz wa ndoa

Kwa kweli Sakapal unachosema ni kweli me mwanamke na ni mmoja wapo i dont like long story or long conversation kama siko interest nayo, na me ni mtu wa kuigno sana kama utaniboa na story yako, nilimpa shida sana mume wangu kunijua mimi ni mwanmke wa aina gani na niko interest na nini, sasa kuwa makini na story zako co kila siku story za ofisini kwako tuuu na zinajirudia au unasahau kama ulishamsimulia hiyo story then unamsimulia tena hata mimi nitakuigno
Then jua mumeo ni nyota gani mfano kama Cancer au taurus ingia kwenye google then search mfano Cancer Man au hiyo nyota ya mumeo utapata jibu asilimia 75 huwa ni tabia za kweli na utagundua mengi sana
Jaribu.

Thanx Nakshi, b4 hatujaoana tulifahamiana sana na tabia zetu ziliendana vizurii tu bila mushkeli wala kadhia na udhia, this changes happens baada ya miaka kadhaa ya ndoa na story ninazopiga ni zilezile sijazibadili basi tu naona upepo mbaya umepita.
Mmmhhhhhh hapo kwenye nyota not interested i dont believe hata in those makitu, thanx anyways.
 
Ndo kama hapa sasa na nyie mtuambie yanayowaboa ili mawifi zenu huku wapate ahueni mi ndo nshakuambia my dada usije sema ooonh Bro Ole hukunishauri na mambo kama hayo.......asubuhi akili ina njaa ya kuwaza mambo endelevu so ni bora hapo uipe akili yangu changamoto will listen the whole way na kuchangia saaaanaaaaa

Usiku wakati wa kulala nambie pillow stories.... unavyofurahi nikikushika kiuno weeeell n gud nakishika na dawa juu..........omba nikutoe rangi na remover sawaa.....then unganishia kidogo na rangi unayopenda kwa nyumba tunayojenga......tubishane hapo mpaka tupitiwe na usingizi

heheeeeeee haya bana, bed story inategemea njiani mlikuwaje kama tulinuniana njia nzima labda wewe ndo uanzishe...
 
Kwanza umenichosha na story yako ndeefu . . . Lol(kiding).Wanaume wengine sisi ni wavivu wa kuongea na kusikiliza pia.Mimi mfano huwa sipendi sana mizaha,ni mara mojamoja sana ndo maana hata comedy si mpenzi.Nikioa nitamwambia mke wangu tabiia yangu hii ili wakati mwingine asiwe anakwazika,lakini nitajitahidi kumsikiliza mara nyingi ili asiboreke.Ukitaka wanaume tufurahi leta story za mipango ya hela utaona kama tutaongeza sauti ya radio.Ila kwa kuwa umeshajua hebu ufuate ushauri wa Kaunga,japokuwa wanawake kimaumbile mnapenda kusikilizwa!

will try that ila nature inatuumiza sana coz tunafeel prestige sana tukisikilizwa hasa kwa umakini sijui mungu aliweka nini huku mioyoni mwetu hadi tukawa tunaenjoy sana tukisikilizwa
 
we cheka tu na usiombe yakukute looh inachosha na kukera kwa kweli, usije ukamfanyia hivo mkeo kwakweli

unajua nini sakapal? huwa una vijistory fulani hivi vya ndani ndani kabisa yaani, sasa mi huwa vinaniacha hoi kabisa, so hapa umenikumbuka ile comment yako ya 'sogeza huko miguu yako bwana' ahaaaa,kaazi kweli kweli haya mapenzi!
 
ukishakaa kwenye ndoa miaka kadhaa sometimes naona unakuwa kama umedata flani hivi, kweli yanatokea mengi vyumbani mwa watu na ukifanikiwa kujua story/siri za vyumba vya wanandoa utastaajabu zaidi ya kuyaona ya firauni.
 
kweli kabisa yaani, nadhani hiyo ndo ile inaitwa 'kua uyaone'
 
Ina maana Snowball ndo huyo huyo mzee wa kukuchunia au ushaamua kumpanga awe backup kabisa kikilia unajishikiza?

Mambo haya!

I thought u come to say sorry for calling my love bazazi.....

hapo kwenye underline we unaonaje?
 
Ina maana Snowball ndo huyo huyo mzee wa kukuchunia au ushaamua kumpanga awe backup kabisa kikilia unajishikiza?

Mambo haya!

Kiranga very soon utakuwa our next king of MMU lol
this one is under the belt lol
 
1) Hata kama hatujuani vyema, vitu vyote hapa vingeanishwa then jukwaa lingejaa irrelevant facts kwa sababu watu watakuwa wanaexplain vitu ambavyo viko wazi. Just try to understand and let it go please?

Pia hapa, madam hata kama akiwa specific hivyo ulivyomuelezea ndivyo wewe unavyoona ni specific enough ambapo anaweza akaja mwingine akaona kuwa specific yako ni too general for them. So then dear, how specific should we go? Do we know level of 'specific' everyone needs so they'll understand?

Well ungeweza ku 'guess' kwamba I do speak to my fellow men too. Na since nimesema in 'my experience' pia ungeweza ku 'guess' kwamba data zinatoka from the cycle of men and women I interact with.
Really, do I have to break everything to you?

Bata ni warn blooded kama mimi na wewe (homoeothermic ) Pia ana uti wa mgongo kama mamba. anamanyoya kama kuku. Kwa hiyo bata ana tabia zinazofanana na viumbe wengine.
But scientists found 'bata' unique na wakampa jina la bata.
I dont know you but najua kwamba wewe unaweza kutumia keyboard kama mimi(tunafanana hapo). But wewe ni Gaijin na mimi ni petcash.
Do I have to move the sky to prove to you that everyone is unique yet we share some habits?
I quit!

I agree with you PetCash!
 
Last edited by a moderator:
I thought u come to say sorry for calling my love bazazi.....

hapo kwenye underline we unaonaje?

Mi napinga wake wa watu kujishebedua na vijana watanashati wa JF.

Kama mzee wa kuchunia anavyokuwa anafanya emotional neglect/cruelty, wake za watu wanaojimwayamwaya na vijana watanashati wa JF kimalavidavi kuitana majina ya kipenzi na mabusu teletele nao wanafanya emotional cheating.

Mara kidogo vi-PM, kubadilishana namba, mara una story lakini mumeo hakusikilizi umempigia Snowball, mara Snowball kakuita kisehemu cha karibu mzungumze vizuri, mara umemlalia kifua, mara mmehamisha kikao ndani anakwenda pale ndani ya kumi nane hatari langoni eeeeeeeeeeeeeh, wasikilizaji, mambo si mambo katika uwanja......

Unajikuta ndo vile tena.

Na unaweza hata kujifariji kiuongo kwamba hukusababisha wewe mambo.
 
Hiyo habari ya nyota ni superstition ambayo nikimsikia mtu anaiongelea tu natingisha kichwa.

Watu wanaoamini nyota ni rahisi sana kuliwa hela zao na Kalumanzira.

Yani mie mtu akitaka nianze kublow holes in her theory aanze kunitajia habari za "yule nyota fulani ndo maana ana tabia fulani"

I will unleash the Asimov in me to discredit every last strain of this shoddy superstition.

Read carefully my thread, i didnt mean her to go kwa kalimanzila o wharever his name i told her to cheki in google about Zodic
It seems ur are very superstition person and also ur lack of perceives
 
Read carefully my thread, i didnt mean her to go kwa kalimanzila o wharever his name i told her to cheki in google about Zodic
It seems ur are very superstition person and also ur lack of perceives

Zodia ndo Kalumanzila mwenyewe tena. Kwani tofauti nini?

Nionyeshe superstition yangu iko wapi na lack of perception iko wapi.
 
Mi napinga wake wa watu kujishebedua na vijana watanashati wa JF.

Kama mzee wa kuchunia anavyokuwa anafanya emotional neglect/cruelty, wake za watu wanaojimwayamwaya na vijana watanashati wa JF kimalavidavi kuitana majina ya kipenzi na mabusu teletele nao wanafanya emotional cheating.

Mara kidogo vi-PM, kubadilishana namba, mara una story lakini mumeo hakusikilizi umempigia Snowball, mara Snowball kakuita kisehemu cha karibu mzungumze vizuri, mara umemlalia kifua, mara mmehamisha kikao ndani anakwenda pale ndani ya kumi nane hatari langoni eeeeeeeeeeeeeh, wasikilizaji, mambo si mambo katika uwanja......

Unajikuta ndo vile tena.

Na unaweza hata kujifariji kiuongo kwamba hukusababisha wewe mambo.

Its like this, u dont know me, I dont know u, Ijust found u here in JF as we r all members. I didnt enterfear ur life so my life with SnowBall inakuhusu nini? inakuuma mimi kuwa na SnowBall, after all wengi hapa ni behind the scenes.
Pamoja na kutokukufahamu wala kujua umri na jinsia yako, nakuheshimu as i used to respect everyone, nimechukia kuniambia najishebedua am sorry and am sorry but pls dont do that again!!!!
Vijana watanashati wa JF unawaangalia kwa avatar au? kama watu wanafahamiana out of JF au hawafahamiani wewe inakuuma nn? changia thread then unasepa, na ukiona unaboreka zima computer yako au zima simu yako ulale sio ukwaze na kufatilia maisha ya watu.
Naomba habari zangu na SnowBall uniachie mwenyewe haikuhusu haikuhusu hata kidogo, KIRANGA haihuuuuu....
Mdomo ni mali ya mtu kuongea vile atakavyo but with respecting one another,
Pinga unachopinga ila sio kunidadicate mimi na kutaja id zetu as unavofikiri wewe
Please i need my respect
 
Back
Top Bottom