Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,680
Kwenye jukwaa ambalo hatujui wasifu wa wachangiaji (kuanzia umri, na afya ya akili), ni muhimu kuanisha kila kiwezekanacho ili kutotoa fursa ya kutoeleweka. Unaporuhusu watu wa figure out for themselves ndipo unaporuhusu watu kuondoka nadhana ambazo sizo ulizokusudia. Hakuna sababu hiyo wakati uwezo wa kuanisha upo.
Huwezi ukawacha tu kuweka specifications kwa kisingizio cha uamuzi binafsi. Utafiti huwa na specifications for a reason, sio pambo.
Ni sawa na mtu aje asema wanawake wengi wanawaua waume zao kwa sababu ya kutaka fedha za urithi bila ya kusema ni kwa mujibu wa utafiti wa wanawake wa aina gani (eneo, umri, hali binafsi za kiuchumi) itakavyokosa maana kwa mazingira ya Kitanzania, kwa mfano
Hii ni experience yako, kwa hiyo siwezi kukupinga kwa sababu sijui hao wanawake unakuwa unakutana wapi au ni wa aina gani. Lakini wakati huo huo naona tayari umeshawazungumzia wanaume wengine pia. Hao "many men" ni wangapi? (kwa sababu hii ni tajriba binafsi unaweza kutuambia)
Ningeweza kujibu kuwa kama everyone is unique hizo general characteristics zinatoka wapi?, lakini sio hoja ya msingi.
Katika darasa lenye watoto wadogo akaja mwalimu akasema watoto hupenda kucheza pamoja, mtoto anaependa kucheza peke yake anaweza kuacha kujithamini na kujilazimisha kuwa kama wengine
Hilo halikomi kwa watoto tu, athari za aina hiyo zinaweza kumpata mtu katika umri wowote. Kuwa specific ni muhimu ili kuondoa mwanya huo.
But then she will drive you nuts with her stories! Kwa kweli kuvumilia mtu akiongea story ambazo huzipendi kila siku ili kuogopa 'emotional neglect' ni utumwa.
Hapa labda tukubaliane aambiwe kama hana story za msingi anyamaze period!
Mwanamme anayejua maongezi anamjibu vizuri mkewe na kuyaongoza hayo maongezi kuelekea kule anakofikiri kunafaa zaidi.
Sasa wewe unaona mkeo anaendekeza gossip, badala ya kuonyesha hufagilii na kuongea habari hizo hizo kwa kina zaidi, unamuacha mamaa anakuwa kama anafanya jitihada za kuwa social wakati wewe ume mute.
Unakosa mvuto.
Unaweza kupinduliwa kwa kitu kidogo tu, katokea kijana mtanashati hana lolote zaidi ya maongezi mazuri, anakufanya mbaya.
Halafu utalalamika wanawake wa siku hizi wasaliti.
Kumbe usaliti umeanza mwenyewe kwa emotional neglect iliyo borderline torture.
Mara nyingine mtu anaweza kuanza kuongelea weather sio kwa maana ya kwamba anataka kuongelea weather, anataka ku crack the ice tu kwa nyepesi nyepesi, sasa kama mwanamme kichwa you take that and run, you build up the convo.
Sasa wewe mtu kaanza na weather tu unasema huyu naye kashaanza story zake za ajabu ajabu.
Utaonyesha humpendi, anakuboa. Mtu kama unampenda kweli hata akikoroma utaona kama muziki.
Na akileta story nyepesi nyepesi unazipeleka kunako, si kumchunia.
Mie sitaki kumbadilisha mke wangu awe kama mimi, sina hata pa kuanzia kufanya hivyo kwa sababu sijaoa. Na nikioa swagga langu tu, mwenyewe atataka kuwa kama mimi, wala sina haja ya kumlazimisha. Kwa maana mpaka kuoa maana yake kuna compatibility ya kutosha.
1) Hata kama hatujuani vyema, vitu vyote hapa vingeanishwa then jukwaa lingejaa irrelevant facts kwa sababu watu watakuwa wanaexplain vitu ambavyo viko wazi. Just try to understand and let it go please?
Pia hapa, madam hata kama akiwa specific hivyo ulivyomuelezea ndivyo wewe unavyoona ni specific enough ambapo anaweza akaja mwingine akaona kuwa specific yako ni too general for them. So then dear, how specific should we go? Do we know level of 'specific' everyone needs so they'll understand?
Well ungeweza ku 'guess' kwamba I do speak to my fellow men too. Na since nimesema in 'my experience' pia ungeweza ku 'guess' kwamba data zinatoka from the cycle of men and women I interact with.
Really, do I have to break everything to you?
Do I have to move the sky to prove to you that everyone is unique yet we share some habits?
I quit!
na nyie wanawake wengi mmezidi kulalamika mara ohh hatusikizwi mara wanaume this wanaume that...dont u knw maisha ya ndoa ni zaidi ya kusikiza stori zenu andf mostly kwetu wanaume huwa tunaziona "hazina tija na majiungu yasojenga"..
Wanawake wote wakiwa hivi mfumodume hauishi kamwe.
Mwanamke ni lazima abadilike kumfuata mwanamme, hata kama mwanmme ni an antisocial jerk.
Ninakubaliana na Kiranga kwamba mume kama kichwa cha nyumba na familia anayo 'stake' katika kubadili mwelekeo wa stori na 'flow' nzima ya maongezi. Tukiaminishana hapa kwamba wanawake wote wanapenda 'gossips' tutakuwa hatuwatendei haki..na mara nyingi tu unaweza kuta mwanaume the same stories ambazo anaziona za kishenzi kwa mkewe akipigiwa na mtubaki anafunguka ile kinoma...
I am a man buddy but i beg to differ with your proposition..
Sio kweli kwamba stori za wamama wengi zimejaa majungu yasiyojenga..la hasha
Kuna cases na cases na kwa hili la huyu mdada inawezekana kuna kitu kinachokosekana kabla na baada ya stori..
Kwenye mahusiano kuna kitu kinaitwa 'cordial reception'..ambayo ni namna ya kumfanya mwenzako kupenda unachoongea..Ukisha kosa hiyo kitu hata kama zitakuwa stori zinazohusu mapesa..hamuwezi kufika mwisho.
Ninakubaliana na Kiranga kwamba mume kama kichwa cha nyumba na familia anayo 'stake' katika kubadili mwelekeo wa stori na 'flow' nzima ya maongezi. Tukiaminishana hapa kwamba wanawake wote wanapenda 'gossips' tutakuwa hatuwatendei haki..na mara nyingi tu unaweza kuta mwanaume the same stories ambazo anaziona za kishenzi kwa mkewe akipigiwa na mtubaki anafunguka ile kinoma...
Unajua kwa nini ndoa za siku hizi hazidumu?
Hili la wanawake kujifanya na wao wana vibesi ndani ya ndoa ndo vinachangia sana ndoa kuyumba.
Unapoamua kuwa na mtu ni muhimu kuangalia compatibility na interests. Kuna wanaume wako well rounded na wanaweza kuongelea karibu chochote. Kuna wengine kama si mpira au masumbwi utawaboa tu.
Mie naamini mpenzi/ rafiki mzuri kabisa ni yule mnayeweza kuongea chochote.
Halafu mtu kama mlianza kwa kuweza kuongea chochote, akabadilika inaweza kuwa ni ishara ya kukuchoka, mapenzi yameisha unakuwa karma a dreaded chore. Inawezekana ndo maana unaona mazungumzo yake yanazungukia the necessities tu kama malipo ya mafundi etc.
Wanaume, mwanamke hapewi tunu ya vito na ufundi wa mbinde za uwanjani tu, bali hata kwa nyama tamu ya ulimi. Msifie bila ya kuwa mpambe isivyo, mazungumzo ya kina yanajenga mahusiano mema na ni kuni za kuchochea moto wa mapenzi.
Mie mtu asiyeongea simuwezi, maana naona kama ana wasiwasi wa kunieleza anachofikiri. Mwanamke anayeongea, hususan anayejua kujieleza, ndiye anayetakiwa dunia ya leo.