Story za mkeo/mpenz wa ndoa

Story za mkeo/mpenz wa ndoa

oh my God,pole Sakapal,labda nami pia namkera mke wangu kwa tabia kama hiyo,labda hajaniambia tu,ngoja nirudi nikajichunguze kama nami namboa kama wewe unavyoborewa na mmeo nijirekebishe!asante kwa mada yako
 
Sasa nimeamini maneno ya mwl.wangu kuwa wanawake wanaongea maneno mengi sana kwa siku
 
Kwenye jukwaa ambalo hatujui wasifu wa wachangiaji (kuanzia umri, na afya ya akili), ni muhimu kuanisha kila kiwezekanacho ili kutotoa fursa ya kutoeleweka. Unaporuhusu watu wa figure out for themselves ndipo unaporuhusu watu kuondoka nadhana ambazo sizo ulizokusudia. Hakuna sababu hiyo wakati uwezo wa kuanisha upo.

1) Hata kama hatujuani vyema, vitu vyote hapa vingeanishwa then jukwaa lingejaa irrelevant facts kwa sababu watu watakuwa wanaexplain vitu ambavyo viko wazi. Just try to understand and let it go please?


Huwezi ukawacha tu kuweka specifications kwa kisingizio cha uamuzi binafsi. Utafiti huwa na specifications for a reason, sio pambo.

Ni sawa na mtu aje asema wanawake wengi wanawaua waume zao kwa sababu ya kutaka fedha za urithi bila ya kusema ni kwa mujibu wa utafiti wa wanawake wa aina gani (eneo, umri, hali binafsi za kiuchumi) itakavyokosa maana kwa mazingira ya Kitanzania, kwa mfano

Pia hapa, madam hata kama akiwa specific hivyo ulivyomuelezea ndivyo wewe unavyoona ni specific enough ambapo anaweza akaja mwingine akaona kuwa specific yako ni too general for them. So then dear, how specific should we go? Do we know level of 'specific' everyone needs so they'll understand?



Hii ni experience yako, kwa hiyo siwezi kukupinga kwa sababu sijui hao wanawake unakuwa unakutana wapi au ni wa aina gani. Lakini wakati huo huo naona tayari umeshawazungumzia wanaume wengine pia. Hao "many men" ni wangapi? (kwa sababu hii ni tajriba binafsi unaweza kutuambia)

Well ungeweza ku 'guess' kwamba I do speak to my fellow men too. Na since nimesema in 'my experience' pia ungeweza ku 'guess' kwamba data zinatoka from the cycle of men and women I interact with.
Really, do I have to break everything to you?



Ningeweza kujibu kuwa kama everyone is unique hizo general characteristics zinatoka wapi?, lakini sio hoja ya msingi.

Katika darasa lenye watoto wadogo akaja mwalimu akasema watoto hupenda kucheza pamoja, mtoto anaependa kucheza peke yake anaweza kuacha kujithamini na kujilazimisha kuwa kama wengine

Hilo halikomi kwa watoto tu, athari za aina hiyo zinaweza kumpata mtu katika umri wowote. Kuwa specific ni muhimu ili kuondoa mwanya huo.

Bata ni warn blooded kama mimi na wewe (homoeothermic ) Pia ana uti wa mgongo kama mamba. anamanyoya kama kuku. Kwa hiyo bata ana tabia zinazofanana na viumbe wengine.
But scientists found 'bata' unique na wakampa jina la bata.
I dont know you but najua kwamba wewe unaweza kutumia keyboard kama mimi(tunafanana hapo). But wewe ni Gaijin na mimi ni petcash.
Do I have to move the sky to prove to you that everyone is unique yet we share some habits?
I quit!
 
Last edited by a moderator:
Lakini tena tatizo hapa naliona kwa wadada, si wote "BAADHI"

Anaingia kwenye mahusiano mapya kwa kupretend sana
Ana act like a lady, kuongea point tu
Wakati kabisa anajijua point ni za kukopa
muda mwingi yuko "off brain"
Sasa muda wa kupretend ukiisha yule mtu anaboreka
Labda alichokipenda kwake ni ule u -'On Brain"

Hakuna kitu kizuri kwa kuwa mwenyewe from day one
mtu anajua kabisa kapenda cherehani ya maneno
 
Cha mhimu dada yangu jaribu kuona ni aina gani ya story anazopenda. Vilevile as a learned lady you should know WHEN to talk to your husband and HOW to talk to him. You know him better than any one on this forum. All the best in search for harmony and peace and lovely family. Be blessed
 
na nyie wanawake wengi mmezidi kulalamika mara ohh hatusikizwi mara wanaume this wanaume that...dont u knw maisha ya ndoa ni zaidi ya kusikiza stori zenu andf mostly kwetu wanaume huwa tunaziona "hazina tija na majiungu yasojenga"..am givin you a lil home work mukaifanye kwa nyakati zenu tofauti kila mmoja na mumewe na mutuletee mrejesho.
1- siku 1 jioni mnatoka kazini mcheck mmeo kama anaonyesha dalili za uchovu then mwambie hny lets stop by a nearby joint tukapige mdogomdogo plus story coz kuna deal la kuingiza kiasi flani cha pesa nadhani ushauri wako unahitajika sana, na mkifika agizeni kinywaji then mama anza kumpa hiloo deal la pesa na liwe kama la kifisadi hivi uone jinsi usikivu wa mzee utavyokuwa juu na cooperation ya kutosha to every detail of the deal.
2- another day mnatoka kazini fanya kama hapo juu(1) ila muambie tunaenda kuongelea jinsi shosti yako anavyozinguana na mmewe kiasi wanataka kupeana talaka, au kujadili jinsi mnavyoandaa sendoff ya rafiki yako mpo naye ofcn na wewe ni katibu wa kikao cha kina mama uone na upime usikivu wa mzee.

katika vikao vyote pima yafuatayo
1- attentiveness to your presentation of matters
2- contributions zake kwenye mada nzima
3- idadi yaq bia/soda atazokunywa katika kila kikao
4- muda mutakao tumia kukaa pamoja kujadiliana kwa kila kikao
5- idadi ya simu atazopiga katika kila kikao
6- conclussion yake kwa kila kikao na je kikao kipi kita-amsha au kuendeleza maongezi nyumbani hata usiku wa manane.

majibu utayopata ndio yatakupa picha sahihi ya aina ya story wanaume wanazopenda kusikia toka kwa wapenzi/wake zao.

irizi wari irizi..we r from jupiter you are from marzz.
 
But then she will drive you nuts with her stories! Kwa kweli kuvumilia mtu akiongea story ambazo huzipendi kila siku ili kuogopa 'emotional neglect' ni utumwa.
Hapa labda tukubaliane aambiwe kama hana story za msingi anyamaze period!

Hapo ndo mnaambiwa msifakamie, mmeona kijungu kumbe kina dhahma si kijungujiko.

Inabidi kujua haya mambo kabla hujakuwa na mtu.

Pia, mwanamme wa kweli haogopi challenge ya kumuelekeza mwanamke wake.

Na kujidanganya kwamba mtaongea 'story za msingi' muda woye haiyumkiniki.

Anaweza kuleta story ya gossip kama baba kichwa unaipindua gossip ileile inatoa funzo lenye nugget of wisdom kwake, anaweza kutoa story iliyojaa dharau na kijicho baba akaona nafasi ya kueleza umuhimu wa kuheshimu watu na kuondoa husda, anaweza kumcheka kilema akafunzwa kwa methali 'hujafa hujaumbika'.

Sasa ushaona mke wako ana mapungufu, unataka nani ayarekebishe?

Na kumnyamazisha hakutamuelimisha, mwanamme hafukii tatizo kwa muda, analitatua.

Kumnyamazisha kunatengeneza time bomb litakalolipuka siku moja.
 
Mwanamme anayejua maongezi anamjibu vizuri mkewe na kuyaongoza hayo maongezi kuelekea kule anakofikiri kunafaa zaidi.

Sasa wewe unaona mkeo anaendekeza gossip, badala ya kuonyesha hufagilii na kuongea habari hizo hizo kwa kina zaidi, unamuacha mamaa anakuwa kama anafanya jitihada za kuwa social wakati wewe ume mute.

Unakosa mvuto.

Unaweza kupinduliwa kwa kitu kidogo tu, katokea kijana mtanashati hana lolote zaidi ya maongezi mazuri, anakufanya mbaya.

Halafu utalalamika wanawake wa siku hizi wasaliti.

Kumbe usaliti umeanza mwenyewe kwa emotional neglect iliyo borderline torture.

Mara nyingine mtu anaweza kuanza kuongelea weather sio kwa maana ya kwamba anataka kuongelea weather, anataka ku crack the ice tu kwa nyepesi nyepesi, sasa kama mwanamme kichwa you take that and run, you build up the convo.

Sasa wewe mtu kaanza na weather tu unasema huyu naye kashaanza story zake za ajabu ajabu.

Utaonyesha humpendi, anakuboa. Mtu kama unampenda kweli hata akikoroma utaona kama muziki.

Na akileta story nyepesi nyepesi unazipeleka kunako, si kumchunia.

Naona its time Kiranga uhamie MMU for a while
upumzike siasa.....nashindwa hata la kuongezea..lol
 
Last edited by a moderator:
On point, acha mtu adate na swaga lako
Haina haja ya kutaka kumbadili mtu au yeye akubadili wewe.

Mie sitaki kumbadilisha mke wangu awe kama mimi, sina hata pa kuanzia kufanya hivyo kwa sababu sijaoa. Na nikioa swagga langu tu, mwenyewe atataka kuwa kama mimi, wala sina haja ya kumlazimisha. Kwa maana mpaka kuoa maana yake kuna compatibility ya kutosha.
 
Je kuna ulazima kumpenda wakati story zake za kujisifia tu yeye kila siku zinakubore?
 
1) Hata kama hatujuani vyema, vitu vyote hapa vingeanishwa then jukwaa lingejaa irrelevant facts kwa sababu watu watakuwa wanaexplain vitu ambavyo viko wazi. Just try to understand and let it go please?

irrelevant kwa mujibu na kwa mintarafu gani? Watu wanapofanya tafiti wanachapisha majibu wakiweza wazi specifications kwa sababu wanajua vyema limitations za tafiti zao. Kupuuza hilo ni kwenda kinyume na matumizi ya matokeo ya tafiti hizo.


Pia hapa, madam hata kama akiwa specific hivyo ulivyomuelezea ndivyo wewe unavyoona ni specific enough ambapo anaweza akaja mwingine akaona kuwa specific yako ni too general for them. So then dear, how specific should we go? Do we know level of 'specific' everyone needs so they'll understand?

Mtu anatakiwa awe specific kueleweka hiyo generalization inahusu sample ya aina gani. Hiyo ni condition ya kwanza ya lazima kwa mtu yoyote anaetaka kufanya generalization.

Huwezi ukaja hapa ukasema wanawake wana macho ya buluu, ukategemea watu waelewe unazungumzia wanawake gani. Kama umeweza kupata hiyo general trend lazima uliangalia specifications fulani, hizo ndizo tunazozitaka


Well ungeweza ku 'guess' kwamba I do speak to my fellow men too. Na since nimesema in 'my experience' pia ungeweza ku 'guess' kwamba data zinatoka from the cycle of men and women I interact with.
Really, do I have to break everything to you?

Ndio idadi yake ni ngapi? Kama wewe umezungumza na wanaume 10 na 7 kati yao wakasema hawapendi mazungumzo ya wanawake, kihesabu utakuwa sahihi ukisema asilimia 70 ya wanaume unaowajua hawapendi mazungumzo ya wanawake, lakini kijamii haitakuwa na maana sahihi. Saple size ni kitu moja muhimu mno katika kukubalika kwa matokeo ya utafiti wowote ule.

Do I have to move the sky to prove to you that everyone is unique yet we share some habits?
I quit!

Ndio nikataka uwe specific, ili wanaokusoma wakuelewe iwapo hiyo unayoizungumzia ni katika habits ambazo anatakiwa kuwa nayo kama wengine wa jamii yake au si lazima iwe hivyo.

Tanabahi:
Hii ya kuwaita watu usiowajua/au hata unaowajua "dear" inaweza kuwa sababu ya mikwaruzano na ukatakiwa uombe radhi hadharani
Video: Calm down, dear: David Cameron's 'sexist' taunt to Labour MP - Telegraph
 
leo ukiingia tu kwenye bajaji weka headphones masikioni then weka sauti kubwa imba na kufuatia wimbo unaousikiliza ,then mlie chabo anajisikiaje then unipe majibu yangu
 
na nyie wanawake wengi mmezidi kulalamika mara ohh hatusikizwi mara wanaume this wanaume that...dont u knw maisha ya ndoa ni zaidi ya kusikiza stori zenu andf mostly kwetu wanaume huwa tunaziona "hazina tija na majiungu yasojenga"..

I am a man buddy but i beg to differ with your proposition..
Sio kweli kwamba stori za wamama wengi zimejaa majungu yasiyojenga..la hasha
Kuna cases na cases na kwa hili la huyu mdada inawezekana kuna kitu kinachokosekana kabla na baada ya stori..
Kwenye mahusiano kuna kitu kinaitwa 'cordial reception'..ambayo ni namna ya kumfanya mwenzako kupenda unachoongea..Ukisha kosa hiyo kitu hata kama zitakuwa stori zinazohusu mapesa..hamuwezi kufika mwisho.

Ninakubaliana na Kiranga kwamba mume kama kichwa cha nyumba na familia anayo 'stake' katika kubadili mwelekeo wa stori na 'flow' nzima ya maongezi. Tukiaminishana hapa kwamba wanawake wote wanapenda 'gossips' tutakuwa hatuwatendei haki..na mara nyingi tu unaweza kuta mwanaume the same stories ambazo anaziona za kishenzi kwa mkewe akipigiwa na mtubaki anafunguka ile kinoma...
 
Last edited by a moderator:
Wanawake wote wakiwa hivi mfumodume hauishi kamwe.

Mwanamke ni lazima abadilike kumfuata mwanamme, hata kama mwanmme ni an antisocial jerk.

Unajua kwa nini ndoa za siku hizi hazidumu?
Hili la wanawake kujifanya na wao wana vibesi ndani ya ndoa ndo vinachangia sana ndoa kuyumba.
 
Ninakubaliana na Kiranga kwamba mume kama kichwa cha nyumba na familia anayo 'stake' katika kubadili mwelekeo wa stori na 'flow' nzima ya maongezi. Tukiaminishana hapa kwamba wanawake wote wanapenda 'gossips' tutakuwa hatuwatendei haki..na mara nyingi tu unaweza kuta mwanaume the same stories ambazo anaziona za kishenzi kwa mkewe akipigiwa na mtubaki anafunguka ile kinoma...

Ukiona mwanamke ndani ya familia anapoka majukumu ya baba na kujifanya yeye ndo baba ndani ya familia huyo mwanamke wa kiafrika hakufai hata kidogo mtwange talaka tatu akajitegemee huko we kamata mwanamke mwingine
 
I am a man buddy but i beg to differ with your proposition..
Sio kweli kwamba stori za wamama wengi zimejaa majungu yasiyojenga..la hasha
Kuna cases na cases na kwa hili la huyu mdada inawezekana kuna kitu kinachokosekana kabla na baada ya stori..
Kwenye mahusiano kuna kitu kinaitwa 'cordial reception'..ambayo ni namna ya kumfanya mwenzako kupenda unachoongea..Ukisha kosa hiyo kitu hata kama zitakuwa stori zinazohusu mapesa..hamuwezi kufika mwisho.

Ninakubaliana na Kiranga kwamba mume kama kichwa cha nyumba na familia anayo 'stake' katika kubadili mwelekeo wa stori na 'flow' nzima ya maongezi. Tukiaminishana hapa kwamba wanawake wote wanapenda 'gossips' tutakuwa hatuwatendei haki..na mara nyingi tu unaweza kuta mwanaume the same stories ambazo anaziona za kishenzi kwa mkewe akipigiwa na mtubaki anafunguka ile kinoma...

Shukran.

By the way, wajibu wa kubadili muelekeo wa maongezi inapobidi ni wa wote. Hata mke anaweza kubadili muelekeo.

Mathalani baba anawaka kwa vitu vidogo unnecessarily anapoteza composure, mama anaweza kusema maneno ya busata kumtuliza.

Kwa hiyo in that instance mama kawa kichwa. Inakubalika.

Kwa hiyo hii issue si wanawake tu. Wanaume nasi tunaweza kuwapeleka peleka wanawake kwenye sehemu hata si hobby zao, tukawa boa, na wao wana wajibu wa kuturudisha mstarini, kwa upendo na werevu.

Sio mbaba anapiga story za mpira tu na politics za FAT, wakati baba akiongelea shindano la mpira, mama anasikia sindano ya kushonea.

Tofauti.
 
Last edited by a moderator:
Unapoamua kuwa na mtu ni muhimu kuangalia compatibility na interests. Kuna wanaume wako well rounded na wanaweza kuongelea karibu chochote. Kuna wengine kama si mpira au masumbwi utawaboa tu.

Mie naamini mpenzi/ rafiki mzuri kabisa ni yule mnayeweza kuongea chochote.

Halafu mtu kama mlianza kwa kuweza kuongea chochote, akabadilika inaweza kuwa ni ishara ya kukuchoka, mapenzi yameisha unakuwa karma a dreaded chore. Inawezekana ndo maana unaona mazungumzo yake yanazungukia the necessities tu kama malipo ya mafundi etc.

Wanaume, mwanamke hapewi tunu ya vito na ufundi wa mbinde za uwanjani tu, bali hata kwa nyama tamu ya ulimi. Msifie bila ya kuwa mpambe isivyo, mazungumzo ya kina yanajenga mahusiano mema na ni kuni za kuchochea moto wa mapenzi.

Mie mtu asiyeongea simuwezi, maana naona kama ana wasiwasi wa kunieleza anachofikiri. Mwanamke anayeongea, hususan anayejua kujieleza, ndiye anayetakiwa dunia ya leo.

Asante Kiranga, kweli wakati tunaanzana au yeyote wanaanzana maisha ni tofauti na maongezi yananoga siku zote na ikifika muda wa kuagana hamtamani kuachana muda huwa hautoshi mnatamani muongee na kuongea. Shida inaanza mko tayari kwenye ndoa maongezi ni yaleyale tangu wakati mko wachumba tena saa zingine unakumbushia story za jinsi mlivyoanzana ukitegemea jamaa atanogesha story hadi mgonge viganja looh utaona sura wala hailekei kuongea. Shida ninayoiona hapa ni kutomwambia mwenzako hiki acha au kuwa muwazi mie sio mfalme malaika kwamba ntaota sometimes unafanya ukifikiri atafurahia kumbe daah chenga. Sasa tatizo jingine ni kwamba ukiamua kunyamaza all the way ukiwa kimya after two days utasikia sikuhizi umekuwa kiburi eeh njia nzima huongei ndo heshima gani hiyo kwa mumeo tunakuwa kama mabubu jamani nini mfanyiwe mridhike wanaume semeni mnatakaje looh! mbona hambebeki?
 
Kwanza ni unafiki kusema wanaume 'hawataki au hawapendi' story za 'umbea umbea'
by nature binadaamu wote ni 'wambea'
ndo maana tunanunua magazeti na kuingia kwenye mitandao
hata magazeti ya soka yana 'gossip columns '

umbea ni information haijalishi ni useful kwako au la...

so hakuna story za kimbeambea .....story ni story tu
 
Back
Top Bottom