I am a man buddy but i beg to differ with your proposition..
Sio kweli kwamba stori za wamama wengi zimejaa majungu yasiyojenga..la hasha
Kuna cases na cases na kwa hili la huyu mdada inawezekana kuna kitu kinachokosekana kabla na baada ya stori..
Kwenye mahusiano kuna kitu kinaitwa 'cordial reception'..ambayo ni namna ya kumfanya mwenzako kupenda unachoongea..Ukisha kosa hiyo kitu hata kama zitakuwa stori zinazohusu mapesa..hamuwezi kufika mwisho.
Ninakubaliana na
Kiranga kwamba mume kama kichwa cha nyumba na familia anayo 'stake' katika kubadili mwelekeo wa stori na 'flow' nzima ya maongezi. Tukiaminishana hapa kwamba wanawake wote wanapenda 'gossips' tutakuwa hatuwatendei haki..na mara nyingi tu unaweza kuta mwanaume the same stories ambazo anaziona za kishenzi kwa mkewe akipigiwa na mtubaki anafunguka ile kinoma...