Story za udokozi

Unakunywa nyagi?
 
😂😂😂😂😂 uwiiiiii
Nimecheka maana imenibidi nivute picha vile umetoa macho..🤣🤣
Mimi nilikuwa mdokozi wa nyanya..nikikuta nyany hata Kama zimekatwa nasomba..siku Moja nikategeshewa pilipili...nilikoma
 
[emoji1][emoji1][emoji1]ulikuwa unapenda nyanya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa nilikua naziogopa maana ukigundulika hicho kipigo chake ni cha mbwa koko [emoji23]

Sent From Galaxy S20 Ultra
 
Pesa nilikua naziogopa maana ukigundulika hicho kipigo chake ni cha mbwa koko [emoji23]

Sent From Galaxy S20 Ultra
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna siku nilikula stick hizo si mchezo. Tatizo lingine ilikuwa hata baadae baada ya kuacha nilipokea adhabu nyingi za wizi ambao hata sijafanya kwa sababu ya hiyo historia yangu mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana. Njoo tunywe konyagi kujifuta machozi.
 
Sio mzee Asprin kweli huyo mgeni wenu au alikiwa Kaizer ?
 
Wakati nipo chuo mwaka wa pili, nilianza kuishi off-campus.

Nilikuwa na roommate M-Ghana. Alikuwa anapenda sana kupika.

Basi siku moja nimetoka zangu darasani, kurudi nyumbani nikamkuta hayupo. Siku hiyo alikuwa na darasa la jioni.

Kabla hajaondoka kwenda darasani, alipika.

Narudi nyumbani nasikia harufu nzuri ya chakula. Kuangalia ndani nakuta jamaa hayupo.

Sufuria la mboga alikuwa kaliacha juu ya jiko.

Nilikuwa na njaa balaa. Siku nzima nilikuwa na madarasa hata muda wa kula sikuwa nao maana madarasa yalikuwa bandika bandua.

Basi nikaamua kufunua sufuria nione alichokipika.

Hamad! Nikakuta kapika nyama ya mchuzi. Nikadokoa finyango kama nne hivi.

Kuanza kuzitafuna, nikahisi kaharufu flani hivi kaliko tofauti na nyama ya ng’ombe.

Nikajisemea kimoyomoyo labda itakuwa ni viungo tu alivyoviweka.

Lakini hata ladha nayo nikaistukia kuwa iko tofauti. Finyango ya mwisho nikaitema, nikaitupa.

Basi bana, baadaye usiku aliporudi akaniambia kwamba jirani yetu aligonga Deer 🦌 [kwa Kiswahili sijui hata anaitwaje...sijui ndo Swala?] akaamua kumchukua na kwenda kumchinja na akampa roommate kiasi cha nyama yake. Roomie akaamua kupika.

Sasa mimi silagi Deer. Ila siku hiyo nilikula.

Njaa na udokozi wangu vilinitokea puani.

Toka siku hiyo nikakoma kudokoa na kula vitu ambavyo sivijui.
 
Najaribu kuvuta memory hapa alikua nani
Atakuwa mmoja wao wala usiende mbali.

Kwa hiyo kwasasa una mchumba sasa maana unaonekana ulikuwa mtoto mzuri.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…