Story za ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni danganya toto

Pale Jangwani ni sehemu ya mkondo wa maji, hakuna Shirika au Kampuni yoyote ya Bima itaenda kukubali kudhamini mradi wa uwanja wa mpira eneo lile na bila Bima hakuna Benki itaenda kutoa pesa zake kuufadhili[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa upeo wako na heshima yako hukutakiwa kuchangia uzi huu mzee wangu weee njoo huku kwenye ule uzi kula kimasihara
 
pale hapashindikani wanja kujengwa tena utakua moja ya kivutio
 
Hizi hadaa ambazo uongozi wa Yanga pamoja na GSM wanaendelea kufanya kuhusiana na ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni geresha tu ambazo hazitakuja kuzaa matunda yoyote zaidi ya kuwapotezea muda wapenzi, mashabiki na wanachama wa Deportivo de Utopolo.

Pale Jangwani ni sehemu ya mkondo wa maji, hakuna Shirika au Kampuni yoyote ya Bima itaenda kukubali kudhamini mradi wa uwanja wa mpira eneo lile na bila Bima hakuna Benki itaenda kutoa pesa zake kuufadhili. Tukifikia hapo hata uende kuhonga wanasiasa na watendaji wa halmashauri ni kazi bure tu. Ukiona Shirika la Bima la Taifa (NIC) wamekubali kufadhili mradi huu, jua haya ni matumizi mabaya ya rasilimali za nchi kama ambavyo wanapoteza pesa za umma kwa kutoa pesa za wachezaji wa mwezi kwa katimu kasiko na mbele wala nyuma.

Namhusia CAG (Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali) aanze mapema kutupia jicho kali mradi wa Bonde la Msimbazi unaofadhiliwa na Benki ya Dunia ili kujihakikishia kuwa pesa za serikali zilienda kufanya yale yaliyokusudiwa badala ya kufadhili ndoto za alinacha za Deportivo de Utopolo.

Eneo lote ambalo zamani lilikuwa ni Uwanja wa Kaunda inabidi lichukuliwe na Serikali kwa ajili ya kupitisha maji na jengo lao libomolewe ili zijengwe kingo za kuzuia maji pamoja na bustani kama ambavyo mradi wa Bonde unavyotaka. Kama mko serious kwenye kutatua changamoto za mafuriko hatutakiwi kucheka na kima. Msituchanganye na hadaa zenu za uzinduzi wa jengo la miaka 40 iliyopita na viongozi wa Serikali waache kutumika katika hizi danganya toto.

Povu ruksa.
Zile hela za ujenzi wa uwanja wa simba ziko wapi tena nirudishieni huku 2 yangu nikiwa hangia Bata wahed
 
Siku hzi nkmekuwa mvivu wa kusoma story hbr ndefu

Nina amini umeendika ujinga mtupu
 
Kigamboni ni plan b na kule vitajengwa viwanja vya mazoezi na hosteli za vijana, yanga anaangalia zaidi eneo la kibiashara litakalompa mapato kule kigamboni utafanya biashara Gani? Ndio maana uwanja unajengwa Kaunda sehemu ambayo vitawekwa vitega uchumi maana ni town na yanga ataingiza mapato ya kutosha ilo amlijui kwa vile mnaongozwa na mangungu wote akili kazichota kaziweka kiganjani mwake!
Je hilo ndio nililolisema mimi?

Ni wapi klabu yako waliwahi kusema hilo baada yakupeleka wale wakandarasi.
 
Inasikitisha sana, kuwa mtu hajafanya ata tafiti kujua kuwa kuna kiwanja huko Angola imejengwa baharini kabisa...wala mtu hajui kuwa shule ya sekondari Kibiti Rufiji imejengwa na Watu wa Cuba na maji yanapita chini.
Mleta mada ni mpiga domo tu yeye na field ya construction ni bingu na dunia.
Ni kawaida kwa watu wenye kufungua " whatsupp" channel ya klabu na kuona ndio mafanikio yao kuwa na wivu wa kike.
 
🤣🤣Sio kweli mkuu kwa watu walioenda shule watakuelewa , sababu usipoweka hoja wanaona huyu hana hoja
Hoja nzito zipo za kutosha tu, umeziona ndiyo maana ukaona ucomment. Mengine ya kunogesha mada wala yasikusumbue
 
Sio kila mtu akikoment kuna hoja katika post saa ingine watoa comments ndio wanaleta hoja
 
Ni kweli ila si kwa kesi hii. Kama umesoma kwa makini hoja ya mwanzo na michango ya wengine utagundua hoja ya msingi niliyoleta wengi wameikwepa ukiacha Mshana Jr pekee ingawa alichofanya ni kunukuhu tu hiko kipande nilichoandika.

Narudia tena, sijakurupuka kuleta hii mada.

Nawajua nje ndani mashabiki wa Deportivo de Utopolo.
 
Watanzania kwa kujua kila kitu kawaida yao , kama unawajua nje ndani means unawajua watanzania wengi, hongera

Ila mpunguze makasiriko
 
Akili yako ni inasadifu mawazo yako yalivyo ya kimaskini, inaonekana wewe ndiye mwenye akili kuliko serikali na wataalamu wao waliopitisha mradi wa bonde la mto msimbazi!!!

Unataka wewe ukiwa maskini na wenzako wawe ivyo ivyo ni ujinga wa kiwango Cha lami, kwakuwa Simba aijulikani ata ofisi zao zilipo wamejaza machinga pale na uwanja wao wa mazoezi bunju ni Kama auna maana yoyote unataka na yanga iwe ivyo???

Uwanja utajengwa na ujenzi utazinduliwa hivi karibuni kwaiyo Kama unajinyonga ujinyonge vizuri ama kameze wembe kabisa ukafie mbali!

Chelsea kajenga uwanja juu ya daraja na chini maji yanapita yanga anashindwaje kujenga uwanja Kaunda?
Ujui ata sababu zilizofanya yanga wapambane kujenga uwanja pale unabaki kubweka bweka tu Kama mtu asiyejielewa!

Serikali wamewaruhusu baada ya jopo la wataalamu kufanya tathmini yao juu ya eneo lile na wamewaongezea eneo zaidi baada ya kujiridhisha namna ujenzi wa uwanja utavyokuwa Sasa wewe kolowizard moja unakuja na mawazo yako yaliyojaa umangungu kuleta porojo za kwenye vijiwe vya kahawa hapa!

Mkandarasi keshapatikana na wafadhiri wa mradi washapatikana ivyo kaa kwa kutulia usubili Kama utajengwa ama autajengwa wivu wa kike kike auwezi kukusaidia chochote!
Simba wanatumia uwanja wao wa Bunju kwa mazoezi,ni hatua nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi hadaa ambazo uongozi wa Yanga pamoja na GSM wanaendelea kufanya kuhusiana na ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni geresha tu ambazo hazitakuja kuzaa matunda yoyote zaidi ya kuwapotezea muda wapenzi, mashabiki na wanachama wa Deportivo de Utopolo.

Pale Jangwani ni sehemu ya mkondo wa maji, hakuna Shirika au Kampuni yoyote ya Bima itaenda kukubali kudhamini mradi wa uwanja wa mpira eneo lile na bila Bima hakuna Benki itaenda kutoa pesa zake kuufadhili. Tukifikia hapo hata uende kuhonga wanasiasa na watendaji wa halmashauri ni kazi bure tu. Ukiona Shirika la Bima la Taifa (NIC) wamekubali kufadhili mradi huu, jua haya ni matumizi mabaya ya rasilimali za nchi kama ambavyo wanapoteza pesa za umma kwa kutoa pesa za wachezaji wa mwezi kwa katimu kasiko na mbele wala nyuma.

Namhusia CAG (Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali) aanze mapema kutupia jicho kali mradi wa Bonde la Msimbazi unaofadhiliwa na Benki ya Dunia ili kujihakikishia kuwa pesa za serikali zilienda kufanya yale yaliyokusudiwa badala ya kufadhili ndoto za alinacha za Deportivo de Utopolo.

Eneo lote ambalo zamani lilikuwa ni Uwanja wa Kaunda inabidi lichukuliwe na Serikali kwa ajili ya kupitisha maji na jengo lao libomolewe ili zijengwe kingo za kuzuia maji pamoja na bustani kama ambavyo mradi wa Bonde unavyotaka. Kama mko serious kwenye kutatua changamoto za mafuriko hatutakiwi kucheka na kima. Msituchanganye na hadaa zenu za uzinduzi wa jengo la miaka 40 iliyopita na viongozi wa Serikali waache kutumika katika hizi danganya toto.

Povu ruksa.
Tutajenga jangwani pamoja na bunju🤣.halafu urudi na unaa wako hapa😁
 
Pale Jangwani ni sehemu ya mkondo wa maji, hakuna Shirika au Kampuni yoyote ya Bima itaenda kukubali kudhamini mradi wa uwanja wa mpira eneo lile na bila Bima hakuna Benki itaenda kutoa pesa zake kuufadhili[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nawewe unasikiliza kelele za wivu za huyu 'thimba sposi'?
Maji siyo kikwazo mwambie aende Venice Italy au Uholanzi akajifunze.
 
Hizi hadaa ambazo uongozi wa Yanga pamoja na GSM wanaendelea kufanya kuhusiana na ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni geresha tu ambazo hazitakuja kuzaa matunda yoyote zaidi ya kuwapotezea muda wapenzi, mashabiki na wanachama wa Deportivo de Utopolo.

Pale Jangwani ni sehemu ya mkondo wa maji, hakuna Shirika au Kampuni yoyote ya Bima itaenda kukubali kudhamini mradi wa uwanja wa mpira eneo lile na bila Bima hakuna Benki itaenda kutoa pesa zake kuufadhili. Tukifikia hapo hata uende kuhonga wanasiasa na watendaji wa halmashauri ni kazi bure tu. Ukiona Shirika la Bima la Taifa (NIC) wamekubali kufadhili mradi huu, jua haya ni matumizi mabaya ya rasilimali za nchi kama ambavyo wanapoteza pesa za umma kwa kutoa pesa za wachezaji wa mwezi kwa katimu kasiko na mbele wala nyuma.

Namhusia CAG (Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali) aanze mapema kutupia jicho kali mradi wa Bonde la Msimbazi unaofadhiliwa na Benki ya Dunia ili kujihakikishia kuwa pesa za serikali zilienda kufanya yale yaliyokusudiwa badala ya kufadhili ndoto za alinacha za Deportivo de Utopolo.

Eneo lote ambalo zamani lilikuwa ni Uwanja wa Kaunda inabidi lichukuliwe na Serikali kwa ajili ya kupitisha maji na jengo lao libomolewe ili zijengwe kingo za kuzuia maji pamoja na bustani kama ambavyo mradi wa Bonde unavyotaka. Kama mko serious kwenye kutatua changamoto za mafuriko hatutakiwi kucheka na kima. Msituchanganye na hadaa zenu za uzinduzi wa jengo la miaka 40 iliyopita na viongozi wa Serikali waache kutumika katika hizi danganya toto.

Povu ruksa.
Povu halijibiwi na povu. Jua kidogo asubuhi, povu lako litayeyuka. Povu lako la sabuni mbunju
 
Back
Top Bottom