Story za vijiweni kuhusu watumiaji wa bangi (malijuana/mjani)

56c317eeff9ad60a422c69998924a769.jpg
 
Kuna jamaa humu akivutaga huo mmea yeye anaquote thread zoote anazosoma alafu chini anaandika "OK"

Na mwingine ID kapuni, yani yeye huwa akisikia mtu kaandika Uzi Fulani akiwa na shida au kuuliza kitu Fulani yeye anasoma alafu hachangii chochote ila baada ya muda mrefu kupita yani hata baada ya mwaka ndio huwa anarudi kwenye ile thread na kuuliza "mkuu ulifanikiwa?"[emoji23] [emoji23] mjani sio issue.

Hahahahahhahaaaaa
 
Nani huyo nimjue wa kukoment mwaka ushapita[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lakin si anauliza maendeleo tu
 
Back
Top Bottom