Optimistic bourgeoisie
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 236
- 280
Conor 1 na padri macharo watakua wanatumia iyo kitu bila shaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cannabis, kick ,sensi ,sacred tree hilo jina la bangi silipendi miemarijuana!
hahaaaaa bwahahaaaa
Kuna jamaa humu akivutaga huo mmea yeye anaquote thread zoote anazosoma alafu chini anaandika "OK"
Na mwingine ID kapuni, yani yeye huwa akisikia mtu kaandika Uzi Fulani akiwa na shida au kuuliza kitu Fulani yeye anasoma alafu hachangii chochote ila baada ya muda mrefu kupita yani hata baada ya mwaka ndio huwa anarudi kwenye ile thread na kuuliza "mkuu ulifanikiwa?"[emoji23] [emoji23] mjani sio issue.
Nani huyo nimjue wa kukoment mwaka ushapita[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lakin si anauliza maendeleo tuKuna jamaa humu akivutaga huo mmea yeye anaquote thread zoote anazosoma alafu chini anaandika "OK"
Na mwingine ID kapuni, yani yeye huwa akisikia mtu kaandika Uzi Fulani akiwa na shida au kuuliza kitu Fulani yeye anasoma alafu hachangii chochote ila baada ya muda mrefu kupita yani hata baada ya mwaka ndio huwa anarudi kwenye ile thread na kuuliza "mkuu ulifanikiwa?"[emoji23] [emoji23] mjani sio issue.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Nani huyo nimjue wa kukoment mwaka ushapita[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lakin si anauliza maendeleo tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]