Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
Bi mkubwa kapoteza kadi yake ya bima sasa mwezi mzima namzungusha leo kanikomalia nikamchukue tushugulikie tumalize
Naenda mfuata namkuta yuko na rafiki yake, eti anamsindikiza,sasa hizo stori zao humu.
Mara eti maua yangu sjui yamefanya nini! Mara tupeleke Mliman city jameni.Mara zamani hapa palikuwa na bwawa.
Mara eti wanaulizana leo walienda kanisani asubuhi,hahahah,daah.
Mipango ya jumuia sijui na vikundi vya wamama,viingi.
Eti zamani tulikuwa tunatembea vijijini,sio vijana wa sku hizi hahaha,
Yaani stori haziishi,inaisha hii inakuja hii.
Wataniua hawa leo,na nina masaa mawil tu nirudi kwa ofisi ila naona ndio sirudi tena hii.
Burudani kwa kweli