Story za wabibi duu! Nimebaki kucheka tuu....

Story za wabibi duu! Nimebaki kucheka tuu....

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,087
Reaction score
16,036
Bi mkubwa kapoteza kadi yake ya bima sasa mwezi mzima namzungusha leo kanikomalia nikamchukue tushugulikie tumalize
Naenda mfuata namkuta yuko na rafiki yake, eti anamsindikiza,sasa hizo stori zao humu.

Mara eti maua yangu sjui yamefanya nini! Mara tupeleke Mliman city jameni.Mara zamani hapa palikuwa na bwawa.

Mara eti wanaulizana leo walienda kanisani asubuhi,hahahah,daah.

Mipango ya jumuia sijui na vikundi vya wamama,viingi.

Eti zamani tulikuwa tunatembea vijijini,sio vijana wa sku hizi hahaha,

Yaani stori haziishi,inaisha hii inakuja hii.

Wataniua hawa leo,na nina masaa mawil tu nirudi kwa ofisi ila naona ndio sirudi tena hii.

Burudani kwa kweli
 
yani baada uchangie mada hapo za bimkubwa kuwapa kampani, wewe unakimbilia jf

wakirudi nyumbani story utakuwa wewe, utawasikia " yani vijana wa sikuhizi muda wote wapo bize na simu zao eti ndio utandawazi" na hapo wanaonge kwa kiluga kama umekulia mjini ndio unatoka kapa!
 
Hahaha.sasa mkuu mi stor kama hiz ntachangia nin,na bimkubwa wangu ana maneno,hachelew kunipa madongo hapo
 
Na ww utakuwa mbabu tu (Mhenga) na wajukuu watakushangaa kwani dunia haisimami
 
unaweza kuta hukuwanunulia hata maji ya kunywa njiani.
 
unaweza kuta hukuwanunulia hata maji ya kunywa njiani.
Bado nipo nao nahangaika na kadi kiongoz,msos baada ya hili zoez,ntaenda nao mahal wale wanywe,manake bi mkubwa anapiga ulabu pia
 
Ulitaka story kama zile za wabibi wa mjini... Eti" yaani mama fanuel mwanae hb kama nini yule mtoto!... "
 
Back
Top Bottom