Latent chaos
JF-Expert Member
- Jul 15, 2024
- 1,515
- 3,141
Hiyo ni kawaida kwangu nahakikisha ukitoka hapo unaipepea nusu saa kwanza maana lazima ichemke na ivimbe tuJamani ππ vile nimecheka.
Masaa 6, umesimamisha tu unachakata.
Hata kama ni kukomoa, hiyo ni too much!
Ichemke na ivimbe, hayo si yanakua mateso baada ya starehe.Hiyo ni kawaida kwangu nahakikisha ukitoka hapo unaipepea nusu saa kwanza maana lazima ichemke na ivimbe tu
Impossible, yangu inakuwa in its best possible state, kama huamini tucheze friendly match uje uandike uzi humu kama ule unasema ulimdharau yule mzee siku uliyompa tunda ukajutaIchemke na ivimbe, hayo si yanakua mateso baada ya starehe.
Na wewe mashine yako inakua kwenye hali gani baada ya masaa 6, haijachubuka kweli?
Umenifurahisha sana eti βfriendly matchβImpossible, yangu inakuwa in its best possible state, kama huamini tucheze friendly match uje uandike uzi humu kama ule unasema ulimdharau yule mzee siku uliyompa tunda ukajuta
Apa ni kazi kazini kishundu kwa kishundu mbn ni simpo tu kuonyeshana umwamba au uwezo ππYani nikupe mechi ili kukudhihirishia uwezo wangu π π π nani amekuambia kwamba I need to prove myself kwa mtu. Na wewe uwezo wako ni nini?
π enhePole sana hata mimi niliwahi kupika wali haujaiva
Kila mahali upo jiraniπ enhe
haha π jirani leo tarehe mosi unajua hilo kweli.Kila mahali upo jirani
Kwahiyo umepokea mshahara au?haha π jirani leo tarehe mosi unajua hilo kweli.
Haha aah wapi mi mkulima, naukaribia umakamo.Kwahiyo umepokea mshahara au?
Siyo mbaya sana kilimo kinalipaHaha aah wapi mi mkulima, naukaribia umakamo.