Storytime: Nilivyopata aibu kwa mpenzi sababu ya ushamba na kutokujua kupika

Storytime: Nilivyopata aibu kwa mpenzi sababu ya ushamba na kutokujua kupika

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
15,052
Reaction score
36,866
Ngoja niwape kisa cha ujana, nilivyoenda kupashana joto kwa kijana fulani nikaaibika, ila yule kidume akapotezea na kunipamba na sifa kedekede ili tu aichakate mbususu.

Nimekikumbuka hiki kisa kwa sababu naandaa ule msosi ulioniaibisha back in 2006.

Screenshot 2025-05-22 at 16.52.18.png


Basi bwana, nilikua na huyo kijana tunadate kama miezi mitano hivi, siku hiyo akanikaribisha nyumbani kwao na akaniambia let’s cook together (njoo tupike pamoja), nikakubali nikamuuliza, tunapika nini? akaniambia tambi na nyama. Nikafurahi, nikajisemea leo naenda kumkorogea rosti la nyama ale afurahi.

Nimefika tukasalimiana na viromance vya hapa na pale wala hakua na papara akanionyesha chakula cha kuandaa, akasema nikikaribia kumaliza kuandaa nyama nimwambie yeye atakuja kupika tambi.

Picha linaanza, naangalia ile nyama nikakuta ni nyama ya kusaga, kipindi hicho zaidi ya kuila kwenye sambusa nilikua sijawahi kuiona nyama ya kusaga mbichi. Nikaanza kufikiria sasa hapa nafanyaje. Miaka hiyo hakuna cha youtube wala kuangalia video online.

Screenshot 2025-05-22 at 18.42.47.png


Nikawaza ngoja niiwekee maji kidogo halafu niichemshe huku nimeifunikia, ikiiva nitaiunga kama nyama ya kawaida. Baada ya dakika 10, nilivyofunua sufuria nikakuta nyama imeshikana imekua mabonge mabonge na inaelea kama maharage, nikachoka.

Mwisho wa siku chakula kiliiva kwa mbinde, akaja akapika tambi zake, tukala na akawa anasifia jinsi chakula kilivyo kitamu, ooh sijui najua kupika sana blah blah. Toka siku hiyo nilijua wanaume siyo wa kuwaamini, wakiwa wanataka kukukula watasema chochote, hata uongo ili mradi tu usijisikie vibaya.

Baada ya msosi, ndiyo tukaanza kuandaana kwa ajili ya kukulana vikojoleo. Nilijituma kupita kawaida maana nilijua huku kwingine nishaharibu. Japo alikua na mjiti mkubwa ila kila style nilimbinukia, akanikuna kihaswa haswa tukaenjoy, kwa mara ya kwanza nikamtunuku akamalizia jambo lake mdomoni, nikala zile protein kama dessert 🍦.

Baada ya miaka mingi niligundua kumbe siku ile alikua nataka tupike sphaghetti bolognese, kile nilichokivuruga pale kilikua ni sphagheti bolonyanzaaaaa la kinyamwezi. Maisha ya ujana yana mengi!

Anyway, Alamsiki!
 
Back
Top Bottom