Storytime: Nilivyopata aibu kwa mpenzi sababu ya ushamba na kutokujua kupika

Storytime: Nilivyopata aibu kwa mpenzi sababu ya ushamba na kutokujua kupika

Pale kwetu ingebidi upike vifuko 10 watu walikuwa wanapeleka balaa na team ilikuwa ya kutosha🤣
Mimi napikia mtu anayenipa utamu tu, siyo ukoo wake, unless awe amenioa, ila kipindi hicho nilikua bado sijaolewa.
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Haha! yani unakunywa gin halafu unasema konyagi hapana hivi unaijua gin wewe...?
sa si heri konyagi gin ipo siku utatembea uchi..!😂
gin na tequila yote makali hayo liqueur ni kali lkn zinauafadhari ndo hizo malibu, frangelico, tia maria, disarono, limoncelo n.k
Pombe za matunda matunda na creams sipendi.
Tequila- clean shots, gin namixx.
Na nikitaka varieties nakunywa cocktails.
 
Back
Top Bottom