Storytime: Nilivyopata aibu kwa mpenzi sababu ya ushamba na kutokujua kupika

Aisee! we mbona wapenda vitu vigumu wewe yani negron inaingia Gin,campari na Vermouth!. hapo kwenye gin na campari nikuambie tu samaleko heri margarita!, Gin & tonic nikuamkie tu shikamoo...🤣
Marahabaa kijana, uzoefu umetufunza kutobugia sukari sana zilizojazwa kwenye coktails.
Sipendi alcohol na juice za matunda, sijui strawberries zimesagwa au kinywaji cha blue, its not for me.
 
Ngoja niwape kisa cha ujana, nilivyoenda kupashana joto kwa kijana fulani nikaaibika, ila yule kidume akapotezea na kunipamba na sifa kedekede ili tu aichakate mbususu.

Nimekikumbuka hiki kisa kwa sababu naandaa ule msosi ulioniaibisha back in 2006.

View attachment 3342232

Basi bwana, nilikua na huyo kijana tunadate kama miezi mitano hivi, siku hiyo akanikaribisha nyumbani kwao na akaniambia let’s cook together (njoo tupike pamoja), nikakubali nikamuuliza, tunapika nini? akaniambia tambi na nyama. Nikafurahi, nikajisemea leo naenda kumkorogea rosti la nyama ale afurahi.

Nimefika tukasalimiana na viromance vya hapa na pale wala hakua na papara akanionyesha chakula cha kuandaa, akasema nikikaribia kumaliza kuandaa nyama nimwambie yeye atakuja kupika tambi.

Picha linaanza, naangalia ile nyama nikakuta ni nyama ya kusaga, kipindi hicho zaidi ya kuila kwenye sambusa nilikua sijawahi kuiona nyama ya kusaga mbichi. Nikaanza kufikiria sasa hapa nafanyaje. Miaka hiyo hakuna cha youtube wala kuangalia video online.

Nikawaza ngoja niiwekee maji kidogo halafu niichemshe huku nimeifunikia, ikiiva nitaiunga kama nyama ya kawaida. Baada ya dakika 10, nilivyofunua sufuria nikakuta nyama imeshikana imekua mabonge mabonge na inaelea kama maharage, nikachoka.

Mwisho wa siku chakula kiliiva kwa mbinde, akaja akapika tambi zake, tukala na akawa anasifia jinsi chakula kilivyo kitamu, ooh sijui najua kupika sana blah blah. Toka siku hiyo nilijua wanaume ni siyo wa kuwaamini, wakiwa wanataka kukukula watasema chochote, hata uongo ili mradi tu usijisikie vibaya.

Baada ya msosi, ndiyo tukaanza kuandaana kwa ajili ya kukulana vikojoleo. Nilijituma kupita kawaida maana nilijua huku kwingine nishaharibu. Japo alikua na mjiti mkubwa ila kila style nilimbinukia, akanikuna kihaswa haswa tukaenjoy, kwa mara ya kwanza nikamtunuku akamalizia jambo lake mdomoni, nikala zile protein kama dessert 🍦.

Baada ya miaka mingi niligundua kumbe siku ile alikua nataka tupike sphaghetti bolognese, kile nilichokivuruga pale kilikua ni sphagheti bolonyanzaaaaa la kinyamwezi. Maisha ya ujana yana mengi!

Anyway, Alamsiki!
Shangazi asikupenda wewe atakuwa na shida yeye 😅
 
Mapenz ni upofu.
Kuuliza uliona issue?
Bora ulivyokosea jamaa akala papa bila kibanio.
Nisichoelewa hiyo nyama ya kusagwa ilikuwa ni mbichi au yauive?
 
Niliona aibu kuuliza. Ndiyo alienjoy, aliongelea huo mdinyano mwezi mzima 😂
Nisichoelewa hiyo nyama ya kusagwa ilikuwa ni mbichi au yauive?
Nyama ya kusaga ilikua mbichi kama hivi 👇

Screenshot 2025-05-22 at 18.42.47.png
 
Mguu ulifunga juu ya kenchi😂
Hapana ili nilimbinukia, miguu nimenyanyua na nimeishika mwenyewe na mikono ili isishuke chini na achomeke bila usumbufu (alibaki anaiongelea hiyo style na kuiomba kila tukikutana) .

Kwa mwenye D kubwa huo mkao unalisikia rungu mpaka kitovuni 😂 😂
 
Back
Top Bottom