Storytime: Nilivyopata aibu kwa mpenzi sababu ya ushamba na kutokujua kupika

Storytime: Nilivyopata aibu kwa mpenzi sababu ya ushamba na kutokujua kupika

Hata ningelikuwa mimi ningeliinjika. Sasa inatakiwa kurostiwa bila kuchenshwa au inapikwa kwa steam?
Hauoshi wala hauweki maji, unaiweka kwenye sufuria halafu unaigeuza geuza inatoa maji yenyewe, then ikianza kuiva unaweka kwenye high heat mchuzi utoke, halafu unaongeza mboga mboga zako na nyanya kama unataka kulia na tambi.

Ni aina ya nyama ambayo inaiva haraka sana kwa sababu tayari imesagwa.
 
Hapana ili nilimbinukia, miguu nimenyanyua na nimeishika mwenyewe na mikono ili isishuke chini na achomeke bila usumbufu (alibaki anaiongelea hiyo style na kuiomba kila tukikutana) .

Kwa mwenye D kubwa huo mkao unalisikia rungu mpaka kitovuni 😂 😂
😂😂😂😂Haki njoo ufanye mbinjuo uku nione
 
Haha! yani unakunywa gin halafu unasema konyagi hapana hivi unaijua gin wewe...?
sa si heri konyagi gin ipo siku utatembea uchi..!😂
gin na tequila yote makali hayo liqueur ni kali lkn zinauafadhari ndo hizo malibu, frangelico, tia maria, disarono, limoncelo n.k
Naona Mzee wa CocknMocktails unatupa desa la tahadhari 😅😅
 
Ngoja niwape kisa cha ujana, nilivyoenda kupashana joto kwa kijana fulani nikaaibika, ila yule kidume akapotezea na kunipamba na sifa kedekede ili tu aichakate mbususu.

Nimekikumbuka hiki kisa kwa sababu naandaa ule msosi ulioniaibisha back in 2006.

View attachment 3342232

Basi bwana, nilikua na huyo kijana tunadate kama miezi mitano hivi, siku hiyo akanikaribisha nyumbani kwao na akaniambia let’s cook together (njoo tupike pamoja), nikakubali nikamuuliza, tunapika nini? akaniambia tambi na nyama. Nikafurahi, nikajisemea leo naenda kumkorogea rosti la nyama ale afurahi.

Nimefika tukasalimiana na viromance vya hapa na pale wala hakua na papara akanionyesha chakula cha kuandaa, akasema nikikaribia kumaliza kuandaa nyama nimwambie yeye atakuja kupika tambi.

Picha linaanza, naangalia ile nyama nikakuta ni nyama ya kusaga, kipindi hicho zaidi ya kuila kwenye sambusa nilikua sijawahi kuiona nyama ya kusaga mbichi. Nikaanza kufikiria sasa hapa nafanyaje. Miaka hiyo hakuna cha youtube wala kuangalia video online.

Nikawaza ngoja niiwekee maji kidogo halafu niichemshe huku nimeifunikia, ikiiva nitaiunga kama nyama ya kawaida. Baada ya dakika 10, nilivyofunua sufuria nikakuta nyama imeshikana imekua mabonge mabonge na inaelea kama maharage, nikachoka.

Mwisho wa siku chakula kiliiva kwa mbinde, akaja akapika tambi zake, tukala na akawa anasifia jinsi chakula kilivyo kitamu, ooh sijui najua kupika sana blah blah. Toka siku hiyo nilijua wanaume ni siyo wa kuwaamini, wakiwa wanataka kukukula watasema chochote, hata uongo ili mradi tu usijisikie vibaya.

Baada ya msosi, ndiyo tukaanza kuandaana kwa ajili ya kukulana vikojoleo. Nilijituma kupita kawaida maana nilijua huku kwingine nishaharibu. Japo alikua na mjiti mkubwa ila kila style nilimbinukia, akanikuna kihaswa haswa tukaenjoy, kwa mara ya kwanza nikamtunuku akamalizia jambo lake mdomoni, nikala zile protein kama dessert 🍦.

Baada ya miaka mingi niligundua kumbe siku ile alikua nataka tupike sphaghetti bolognese, kile nilichokivuruga pale kilikua ni sphagheti bolonyanzaaaaa la kinyamwezi. Maisha ya ujana yana mengi!

Anyway, Alamsiki!
Ukamtunuku na kumeza protein mashalaha mashalah
 
Back
Top Bottom