Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #21
Mara moja moja sanaaaaMh! unalamba vitu kama hivi..?
Mara moja moja sanaaaaMh! unalamba vitu kama hivi..?
Mmi nakula pombe na kazi tu now sina pesa za kuanza kuendekeza chini bwasheeMi nazungatia vyote sina uzee wakuzira chini bado...😂
Haha! sawa nakushauri achana na makali kama wapenda makali kunywa liqueurMara moja moja sanaaaa
Ushazeeka wewe wacha vijana tuvichape vizaziMmi nakula pombe na kazi tu now sina pesa za kuanza kuendekeza chini bwashee
Jamani babes poleeeeeLong story short nilieka chumvi kama yote bado na samaki haikuivaaa aibu adi nikalia
40 nimezeeka wap bwashee ? Huo uzee ni wewe unausema ila mimi ni kijana mdogo kabisa ,ndio kwanza nimejikita kwenye pombe na kazi kuijenga kesho yangu😅Ushazeeka wewe wacha vijana tuvichape vizazi
Haaa haaa umenifurahisha, haya bwana, si wa mjini hizo tambi tumekua nazo pamoja na wali na ugali.Mimi kwetu sikuwahi kuwaona wanapika tambi ,tambi nimekuja kuzijulia ukubwani.Ilikuwa ni mwendo wa wali mwingi sana ,kande au ugali .Siyapendi matambi nikila naona kama nakula minyoo hayana ladha na yananukaaa.
Kwahiyo unachakata mbususu kwa ajili ya kuzaliana tu, kufurahi aanhaa aaanhaaaSijawahi kushindwa vitu vidogo hivyo , nina watoto wangu na pale ninapohitaji nitaongeza.
Pombe na bangiiiii kwani sifurahi?Kwahiyo unachakata mbususu kwa ajili ya kuzaliana tu, kufurahi aanhaa a aaanhaaa
Pale kwetu ingebidi upike vifuko 10 watu walikuwa wanapeleka balaa na team ilikuwa ya kutosha🤣Haaa haaa umenifurahisha, haya bwana, si wa mjini hizo tambi tumekua nazo pamoja na wali na ugali.
40 ndugu shikamoo kubwa! huu mtandao nitakuja kuhama siku si nyingi mamtu ni makubwa mno humu...🤣40 nimezeeka wap bwashee ? Huo uzee ni wewe unausema ila mimi ni kijana mdogo kabisa ,ndio kwanza nimejikita kwenye pombe na kazi kuijenga kesho yangu😅
Huwa nakunywa gin na tequila mara moja moja. Konyagi hapana!Haha! sawa nakushauri achana na makali kama wapenda makali kunywa liqueur
Humu wote ni gen z mkuu mambo ya heshima mpelekee bibi huko kijijini kwenu🤣🤣40 ndugu shikamoo kubwa! huu mtandao nitakuja kuhama siku si nyingi mamtu ni makubwa mno humu...🤣
Mshangazi namwita chumbani tulewe anagomaKumbe mtaalamu wa bj
Ongeza hapo na mbususuPombe na bangiiiii kwani sifurahi?
Hataki waleviMshangazi namwita chumbani tulewe anagoma
Haha! yani unakunywa gin halafu unasema konyagi hapana hivi unaijua gin wewe...?Huwa nakunywa gin na tequila mara moja moja. Konyagi hapana!
Nimependa hapo, ukutaka kuharibu kotekote...hahah maisha lazima tujifunze na makosa, sio mbaya sana.Ngoja niwape kisa cha ujana, nilivyoenda kupashana joto kwa kijana fulani nikaaibika, ila yule kidume akapotezea na kunipamba na sifa kedekede ili tu aichakate mbususu.
Nimekikumbuka hiki kisa kwa sababu naandaa ule msosi ulioniaibisha back in 2006.
View attachment 3342232
Basi bwana, nilikua na huyo kijana tunadate kama miezi mitano hivi, siku hiyo akanikaribisha nyumbani kwao na akaniambia let’s cook together (njoo tupike pamoja), nikakubali nikamuuliza, tunapika nini? akaniambia tambi na nyama. Nikafurahi, nikajisemea leo naenda kumkorogea rosti la nyama ale afurahi.
Nimefika tukasalimiana na viromance vya hapa na pale wala hakua na papara akanionyesha chakula cha kuandaa, akasema nikikaribia kumaliza kuandaa nyama nimwambie yeye atakuja kupika tambi.
Picha linaanza, naangalia ile nyama nikakuta ni nyama ya kusaga, kipindi hicho zaidi ya kuila kwenye sambusa nilikua sijawahi kuiona nyama ya kusaga mbichi. Nikaanza kufikiria sasa hapa nafanyaje. Miaka hiyo hakuna cha youtube wala kuangalia video online.
Nikawaza ngoja niiwekee maji kidogo halafu niichemshe huku nimeifunikia, ikiiva nitaiunga kama nyama ya kawaida. Baada ya dakika 10, nilivyofunua sufuria nikakuta nyama imeshikana imekua mabonge mabonge na inaelea kama maharage, nikachoka.
Mwisho wa siku chakula kiliiva kwa mbinde, akaja akapika tambi zake, tukala na akawa anasifia jinsi chakula kilivyo kitamu, ooh sijui najua kupika sana blah blah. Toka siku hiyo nilijua wanaume ni siyo wa kuwaamini, wakiwa wanataka kukukula watasema chochote, hata uongo ili mradi tu usijisikie vibaya.
Baada ya msosi, ndiyo tukaanza kuandaana kwa ajili ya kukulana vikojoleo. Nilijituma kupita kawaida maana nilijua huku kwingine nishaharibu. Japo alikua na mjiti mkubwa ila kila style nilimbinukia, akanikuna kihaswa haswa tukaenjoy, kwa mara ya kwanza nikamtunuku akamalizia jambo lake mdomoni, nikala zile protein kama dessert 🍦.
Baada ya miaka mingi niligundua kumbe siku ile alikua nataka tupike sphaghetti bolognese, kile nilichokivuruga pale kilikua ni sphagheti bolonyanzaaaaa la kinyamwezi. Maisha ya ujana yana mengi!
Anyway, Alamsiki!
Hicho ndicho ulichosoma kwenye uzi wote 😂 😂 😂Kumbe mtaalamu wa bj