Straika anaekabwa na watu 5

Straika anaekabwa na watu 5

Timu yetu hii ina laana ya Libolo. Toka tulipopigwa na Libolo yaani timu yetu imekuwa kama daladala za Kisukuru.
 
Si ulishambiwa mbumbumbu f.c kama utakumbuka usajiri wa mwaka jana waliambiwa kuna straika atakuwa anafunga kila mechi na washabiki wao wakashangilia na kumini
Jamani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli mishabiki ya simba ni vizibooo
 
Hiki ni kipindi cha biashara mkuu. Kwahiyo magazeti yana Uhuru wa kuandika chochote ili mkono uende kinywani. Tatizo ni mishabiki ya Tanzania ni mijinga, hukibeba kinachoandikwa kwenye magazeti mazima mazima bila kuyachuja! Na mtapigwa sana. Sababu akili za waandishi na wasomaji, ngoma droo.
 
Back
Top Bottom