Mr Kipago
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 597
- 622
Manji inasemekana anavuta bangi sina uhakika ila Mo ni mvutaji wa sigara aliyekubuhu anaendelea kupata dozi yake ya kansaKama vile sis tulivokuwa tuna muabudu mzee wa ganja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manji inasemekana anavuta bangi sina uhakika ila Mo ni mvutaji wa sigara aliyekubuhu anaendelea kupata dozi yake ya kansaKama vile sis tulivokuwa tuna muabudu mzee wa ganja
NDALA ZA MATAIRI!Mkia fc
KANDAMBILI! KANDAMBILI! very low grade,,,,,Washabiki wa mikia ni full mbumbumbu,wataletewa politiki mwanzo mwisho.
TEJA NI TEJA..... NDALA NI NDALA....Manji inasemekana anavuta bangi sina uhakika ila Mo ni mvutaji wa sigara aliyekubuhu anaendelea kupata dozi yake ya kansa
Jamani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli mishabiki ya simba ni viziboooSi ulishambiwa mbumbumbu f.c kama utakumbuka usajiri wa mwaka jana waliambiwa kuna straika atakuwa anafunga kila mechi na washabiki wao wakashangilia na kumini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu mbavu zangu mie khaaaaMagazeti ya bongo wanachoandika ukweli ni tarehe tu
kama SSC ni VIZIBO basi NDALA ni MATOBO.....Jamani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli mishabiki ya simba ni vizibooo