Straika wa zamani wa Simba, Ali Ahmed Ali “Shiboli” afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kukutwa na Bangi

Katika kitu wachezaji wa Simba wameshindwa kuacha ni kuvuta BANGI

Yaani miaka na miaka wanaonywa waache lakini wapi, ndio maana zimeharibu akili na uwezo wao uwanjani

Koloz no koloz tu
 
Katika kitu wachezaji wa Simba wameshindwa kuacha ni kuvuta BANGI

Yaani miaka na miaka wanaonywa waache lakini wapi, ndio maana zimeharibu akili na uwezo wao uwanjani

Koloz no koloz tu
Ushabiki wa kijinga tu, suala la mtu binafsi unaihukumu KLABU, wangapi wamecheza hivi vilabu vya mpira?

Mkude na Okra magic waliachwa na Simba SC kwa sababu za utovu wa nidhamu ila wakasajiliwa Yanga napo tuseme Yanga timu ya wahuni wasio na nidhamu?

Ujinga mwingi.
 
SIMBA ndio waasisi, ndio mapusha...wanasambaza kwa vijana wa timu zingine
 
Huenda aliagizwa asipige shoot kuelekea lango fulani hakusikia ikatafutwa namna
 
Yani mchezaji aliyeondoka Simba mwaka 2008 ndio bado mnachukulia ni kama anaichezea Simba Leo.
 
Katika kitu wachezaji wa Simba wameshindwa kuacha ni kuvuta BANGI

Yaani miaka na miaka wanaonywa waache lakini wapi, ndio maana zimeharibu akili na uwezo wao uwanjani

Koloz no koloz tu
Inaonekana huwa unaiwawashia maana wavuta bangi mnajuana
 
Kibu wakimsachi vizuri lazima atakua na kitu 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…