mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
KabisaaNi kweli kutengeneza confidence sio Jambo rahisi .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaaNi kweli kutengeneza confidence sio Jambo rahisi .
Ungetuwekea na ya Kabwili.Ndio maana timu inaendeshwa kindezi timu ya wahuni wahuni wavutabangi wabwia madawa
Kuliwa viboga wachezaji
Ushabiki wa kijinga tu, suala la mtu binafsi unaihukumu KLABU, wangapi wamecheza hivi vilabu vya mpira?Katika kitu wachezaji wa Simba wameshindwa kuacha ni kuvuta BANGI
Yaani miaka na miaka wanaonywa waache lakini wapi, ndio maana zimeharibu akili na uwezo wao uwanjani
Koloz no koloz tu
SIMBA ndio waasisi, ndio mapusha...wanasambaza kwa vijana wa timu zingineUshabiki wa kijinga tu, suala la mtu binafsi unaihukumu KLABU, wangapi wamecheza hivi vilabu vya mpira?
Mkude na Okra magic waliachwa na Simba SC kwa sababu za utovu wa nidhamu ila wakasajiliwa Yanga napo tuseme Yanga timu ya wahuni wasio na nidhamu?
Ujinga mwingi.
Sawa mteja wao!SIMBA ndio waasisi, ndio mapusha...wanasambaza kwa vijana wa timu zingine
Atakuwa alizipanga kabisa kwenye pakti za embassyAsee misokoto 150.....kwahio kawa pusha T
Legelege uwanja ganiNilijua tu.
SIMBA WANAVUTA BANGI
Legelege uwanjani
Simba ndo tabia zao, hata viongozi wao washawahi kuwa na tuhuma za madawa ya kulevya aww
Kwa hiyo mwanamabadiliko usijifariji ni vile unaowajua wewe hawajakamatwa tu.Hakuna mchezaji asiyevuta bangi
Huenda aliagizwa asipige shoot kuelekea lango fulani hakusikia ikatafutwa namnaMtuhumiwa: Ali Ahmed Ali (Shiboli)
Shauri ni jipya Mshtakiwa amesomewa shtaka lake na Mwendesha Mashtaka Juma Ali Juma mbele ya Jaji Salum Hassan Bakar.
Mshtakiwa amekata shtaka lake.
Mtuhumiwa yupo Rumande hadi tarehe 19.11.2024 kwa kutajwa.
Kwani ile tabia yenu ya ukabwili mlishaiacha?Sio bangi tu hata ngada makolo ni utaratibu wao
Kwani wana akili haawa mammbwa? Tangu wapigwe dole na azam wana hasira sanaYani mchezaji aliyeondoka Simba mwaka 2008 ndio bado mnachukulia ni kama anaichezea Simba Leo.
Inaonekana huwa unaiwawashia maana wavuta bangi mnajuanaKatika kitu wachezaji wa Simba wameshindwa kuacha ni kuvuta BANGI
Yaani miaka na miaka wanaonywa waache lakini wapi, ndio maana zimeharibu akili na uwezo wao uwanjani
Koloz no koloz tu