Straika wa zamani wa Simba, Ali Ahmed Ali “Shiboli” afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kukutwa na Bangi

Katika kitu wachezaji wa Simba wameshindwa kuacha ni kuvuta BANGI

Yaani miaka na miaka wanaonywa waache lakini wapi, ndio maana zimeharibu akili na uwezo wao uwanjani

Koloz no koloz tu
 
Ushabiki wa kijinga tu, suala la mtu binafsi unaihukumu KLABU, wangapi wamecheza hivi vilabu vya mpira?

Mkude na Okra magic waliachwa na Simba SC kwa sababu za utovu wa nidhamu ila wakasajiliwa Yanga napo tuseme Yanga timu ya wahuni wasio na nidhamu?

Ujinga mwingi.
 
SIMBA ndio waasisi, ndio mapusha...wanasambaza kwa vijana wa timu zingine
 
Mtuhumiwa: Ali Ahmed Ali (Shiboli)
Shauri ni jipya Mshtakiwa amesomewa shtaka lake na Mwendesha Mashtaka Juma Ali Juma mbele ya Jaji Salum Hassan Bakar.
Mshtakiwa amekata shtaka lake.
Mtuhumiwa yupo Rumande hadi tarehe 19.11.2024 kwa kutajwa.

Huenda aliagizwa asipige shoot kuelekea lango fulani hakusikia ikatafutwa namna
 
Sio bangi tu hata ngada makolo ni utaratibu wao
Kwani ile tabia yenu ya ukabwili mlishaiacha?
20221113_202929.jpg
IMG-20220113-WA0000.jpg
20220616_224550.jpg
 
Yani mchezaji aliyeondoka Simba mwaka 2008 ndio bado mnachukulia ni kama anaichezea Simba Leo.
 
Katika kitu wachezaji wa Simba wameshindwa kuacha ni kuvuta BANGI

Yaani miaka na miaka wanaonywa waache lakini wapi, ndio maana zimeharibu akili na uwezo wao uwanjani

Koloz no koloz tu
Inaonekana huwa unaiwawashia maana wavuta bangi mnajuana
 
Back
Top Bottom