'Street codes' za kukusaidia uishi vizuri na watu mtaani kwako katika mji wowote Tanzania

'Street codes' za kukusaidia uishi vizuri na watu mtaani kwako katika mji wowote Tanzania

kuacha gari lako home likiwa zima halafu upuyange kwa mguu kuelekea kutuoni kupanda dalalada ili uwa please waswahili.

kama wapo watz wanaofanya hii, basi katika 20 labda mmoja.
 
Ahsante kwa miongozo... Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Ahsante kwa mwongozo mkuu

Nikihama hapa kwa mke wa bro ntaanza tekeleza hizo codes
 
Haina haja ya kuongeza zingine. Hizi za kwako zimejitosheleza.

Ooh, one more code. Kama huna chombo cha usafiri, usipende kuomba omba lift kwa majirani. Utageuka mzigo na majirani wataanza kukukwepa. By the way, kwa nini uishi kwa kujipendekeza na kujichekesha kwenye gari ya mtu wakati Bajaj zipo?
 
shida nyingine ya kuomba lift kwenye gari za watu ni kufumbia macho utovu wa nidhamu wa dereva(reckless driving).

unakuta mwenye gari anaendesha rough na unajua kabisa jamaa anaendesha rough.

lakini kwakuwa kakupa lift unakosa confidence ya kumwambia apunguze speed. unabaki tu kumsifia na kujichekesha chekesha halafu baada ya mda mfupi mnakula "buyu", mnakuwa vilema au mnakufa.
 
smarte_r sikukatalii ila vijijini huku hizi code zinagoma ikiwa si mzawa ukiziendekeza sana wanakuzoea vibaya na kuanza dharau sana

Naongeza nyingine ikiwa ni mjini
Usiwe mtu wa kufuatilia yasiyokuhusu hasa kwa hao wana mtaa wenzio
 
Ukihamia makazi mapya cku moja amua kukopa kwa mangi Mchele, sukari, unga etc na kumlipa baada ya cku 2/au 3 hata kama hela unayo. Cku ukikwama hupati shida kumkopa.
Dah umenichekesha sana ila awe mangi kweli maana mangi wengine miyeyusho kutwa kukutangaza kwa wana
 
Back
Top Bottom