Street experience

Street experience

Hongera maana Mimi wakati Niko na umri kama wako sidhani kama nilikua naelewa mambo haya, ila pia unatakiwa ujue kwamba experience huwa haiji kwa kuskia bali kwa kujifunza kwa vitendo.

Kwahiyo kuna point zako hapo juu hazijakaa zaidi ki experience ila zimekaa zaidi kimikakati ambayo umejiwekea uanze nayo kukabiliana na haya maisha.

Hiyo namba moja huwa watu wengi ambao hawana pesa wanaiweka sana ila wakipata pesa wanakua tofauti, so jitahidi ubalance mambo kwasababu mwisho wa siku hii ni marathon.

Na point zako zote zimejengwa juu ya pesa na hii inaonesha kwamba focus yako iko huko, ni vizuri ila unatakiwa ujue kwamba maisha ni mjumuiko wa vitu vingi na kwenye maeneo yote hayo lazima yatakupiga left and right kabla hujajifunza ili uelekee kwenye uzoefu kwa maana ya experience.

Lakini unatakiwa ukumbuke kwamba, pesa mara nyingi huwa inakawaida ya kuwafuata watu ambao hawaizingatii.
Experience iko kwenye field
 
Shukrani mkuu kwa Muongozo Nimepata Kitu toka kwako ,Ndio maana Nipo hapa kupata madini zaidi kwa Mlionitangulia
 
Back
Top Bottom