Hamissi Hamza Jr
Senior Member
- Apr 16, 2020
- 103
- 209
- Thread starter
- #21
Shukrani mkuu Kama Kuna code Zaidi ongezea TafadhariNi kupambana,kulala kidogo, kusinzia kidogo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani mkuu Kama Kuna code Zaidi ongezea TafadhariNi kupambana,kulala kidogo, kusinzia kidogo!
Experience iko kwenye fieldHongera maana Mimi wakati Niko na umri kama wako sidhani kama nilikua naelewa mambo haya, ila pia unatakiwa ujue kwamba experience huwa haiji kwa kuskia bali kwa kujifunza kwa vitendo.
Kwahiyo kuna point zako hapo juu hazijakaa zaidi ki experience ila zimekaa zaidi kimikakati ambayo umejiwekea uanze nayo kukabiliana na haya maisha.
Hiyo namba moja huwa watu wengi ambao hawana pesa wanaiweka sana ila wakipata pesa wanakua tofauti, so jitahidi ubalance mambo kwasababu mwisho wa siku hii ni marathon.
Na point zako zote zimejengwa juu ya pesa na hii inaonesha kwamba focus yako iko huko, ni vizuri ila unatakiwa ujue kwamba maisha ni mjumuiko wa vitu vingi na kwenye maeneo yote hayo lazima yatakupiga left and right kabla hujajifunza ili uelekee kwenye uzoefu kwa maana ya experience.
Lakini unatakiwa ukumbuke kwamba, pesa mara nyingi huwa inakawaida ya kuwafuata watu ambao hawaizingatii.
Shukrani mkuu kwa Muongozo Nimepata Kitu toka kwako ,Ndio maana Nipo hapa kupata madini zaidi kwa MlionitanguliaHongera maana Mimi wakati Niko na umri kama wako sidhani kama nilikua naelewa mambo haya, ila pia unatakiwa ujue kwamba experience huwa haiji kwa kuskia bali kwa kujifunza kwa vitendo.
Kwahiyo kuna point zako hapo juu hazijakaa zaidi ki experience ila zimekaa zaidi kimikakati ambayo umejiwekea uanze nayo kukabiliana na haya maisha.
Hiyo namba moja huwa watu wengi ambao hawana pesa wanaiweka sana ila wakipata pesa wanakua tofauti, so jitahidi ubalance mambo kwasababu mwisho wa siku hii ni marathon.
Na point zako zote zimejengwa juu ya pesa na hii inaonesha kwamba focus yako iko huko, ni vizuri ila unatakiwa ujue kwamba maisha ni mjumuiko wa vitu vingi na kwenye maeneo yote hayo lazima yatakupiga left and right kabla hujajifunza ili uelekee kwenye uzoefu kwa maana ya experience.
Lakini unatakiwa ukumbuke kwamba, pesa mara nyingi huwa inakawaida ya kuwafuata watu ambao hawaizingatii.
KWANINI KIONGOZISAHAU
Kabisa mkuu, na hauwezi kupata experience kwa kuskiliza experience ya mwingine bali unahamasika kwa kufanya hivyo.Experience iko kwenye field
MALENGO YANGU NA MIKAKATI YANGU INAPIMIKA NAWEZA KUIFIKIA BILA KUIBA/KUDHULUMU/KUTAPELI/KUTUMIA UDANGANYIFU HIVYO SIJAWAHI ONA NDOTO AMBAYO SIWEZI KUITIMIZA BILA KUIPITA NJIA HIYO UNAYOIFIKILIAUsikose hii, Lazima utoboe
View attachment 3262627
Shukrani MkuuHongera
MZANI WA MAISHA UNASOMA JUU KULIKO WA UJANAUsela usela punguza usela
Ameen Na Shukrani Pia MkuuKupambana tu maisha Mzee....Katika mapambano na kuwa na bidii mbelen utaona mwanga
Shukrani Mkuu kwa MuongozoSiri zangu kuu ni kujifunza maarifa mapya, kuthubutu, kuwa mwaminifu na kufanya kazi kwa bidii.
View attachment 3262623
Hawatoagi siri zao za kupiga pesaKWANINI KIONGOZI
nakubali mkuuB
BRO NA DUARA LA FORM 4,SINA ELIMU HIO LABDA YA MTAANI TU HATA KAMA NINGEKUWA NA PHD NINGEWEKA PEMBENI MAKARATASI MAANA VYETI VINATOLEWA SHULENI ILA UFAULU UNAPIMWA MTAANI
NADHANI WANAWEZA KUTUONESHA MLANGO WA GATE TU,UFUNGUO TUTAFUTA WENYEWEHawatoagi siri zao za kupiga pesa
Uko Sahihi lakini Hakuna Field With'out Platform plus GuidanceExperience iko kwenye field