[emoji38][emoji38]ACHA MASWALI YASIYO YA MSINGI
Jamaa mmoja kwa kupenda vya kunyonga siku moja aliingia choo cha stendi bila kupenda. Tabia yake ya kuuliza maswali yasiyo na msingi ilimtokea puani na kumwacha mdogo kama kanyeshewa mvua ya mawe.
John: Cuzo, nasikia siku hizi unafanya kazi bakery.
Cuzo: Ndiyo, nafanya job kwa bakery bana.
John: Mbona hujawahi niletea mkate hata mmoja bana?
Cuzo: Dada yako yule anafanya kazi airport amewahi kuja na ndege kwa nyumba? Ehee! Wewe mwenyewe wafanya kazi mortuary, ushawahi kuja na maiti? Tafadhari usinikasirishe, sijalipwa mshahara mwezi wa tatu huu![emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23]MSIKIE UYU MTOTO ANASEMA NINI[emoji23]
Mtoto wa miaka sita alimuuliza babake:
MTOTO: Baa, eti sisi wanadamu tulikuja vipi
duniani?
BABA: Mungu alimuumba Nabii Adam na Hawa.
Kisha wao wakaanza kuzaa watoto na watoto
wakazaa mpaka tukazaliwa sisi. (Mtoto hakuridhika
akamfuta mamake)
MTOTO: Mma, eti sisi wanadamu tulikuja vipi
duniani?
MAMA: Wanasayansi wamesema sisi tulitokana na
manyani baadae tukawa binadamu. (Mtoto akarudi
kwa baba)
MTOTO: Baa mbona mama ansema sisi tulikuwa
manyani mwanzo?Au wanidanganya?
BABA: Mwanangu, mimi nimekuelezea kuhusu ukoo
wetu. Mamako amekuelezea kuhusu ukoo wao[emoji23][emoji23][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23]MSIKIE UYU MTOTO ANASEMA NINI[emoji23]
Mtoto wa miaka sita alimuuliza babake:
MTOTO: Baa, eti sisi wanadamu tulikuja vipi
duniani?
BABA: Mungu alimuumba Nabii Adam na Hawa.
Kisha wao wakaanza kuzaa watoto na watoto
wakazaa mpaka tukazaliwa sisi. (Mtoto hakuridhika
akamfuta mamake)
MTOTO: Mma, eti sisi wanadamu tulikuja vipi
duniani?
MAMA: Wanasayansi wamesema sisi tulitokana na
manyani baadae tukawa binadamu. (Mtoto akarudi
kwa baba)
MTOTO: Baa mbona mama ansema sisi tulikuwa
manyani mwanzo?Au wanidanganya?
BABA: Mwanangu, mimi nimekuelezea kuhusu ukoo
wetu. Mamako amekuelezea kuhusu ukoo wao[emoji23][emoji23][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Haha ha ha hii hatar sanaKulikuwa na semina ya wanawake kuhusu namna ya kuishi kwa upendo katika ndoa.
Mwalimu aliwauliza ni wangapi wanawapenda waume zao? Wote wakanyoosha mikono kama ishara ya kuwa wanawapenda waume zao.
Mwalimu akauliza tena, “Ni lini mara ya mwisho umemwambia mumeo “Nakupenda”?
Majibu yalikuwa kama ifuatavyo:
Wengine wakisema Asubuhi ya leo,Wengine jana,Wengine wiki iliyopitaWengine mwezi uliopitaNa wengine wakasema hawakumbuki!
Mwalimu aliwapa kazi kila mwanasemina achukue simu yake na kumtumia mume wake meseji yenye neno “NAKUPENDA MPENZI”
Baada ya meseji kwenda aliwaamuru kubadilishana simu kila mtu na jirani yake.
Kila mwanasemina aliambiwa kusoma meseji za majibu kwenye simu aliyoshika
Katika majibu hayo, meseji za vichekesho zilikuwa ni nyingi na kweli vichekesho vya ndoa ni nyingi kama ilivyosomwa katika hizo meseji, fuatilia hapa zaidi.
Simu ya 1 – “Samahani, nani mwenzangu”!
Simu ya 2 – “wrong number”!
Simu ya 3 – “samahani, umekosea namba”!
Simu ya 4 – “Si nimekuambia usinitumie messages kwenye namba hii”!
Simu ya 5 – “Mh! leo mvua itanyesha”!
Simu ya 6 – “Nikija tutaongea zaidi”!
Simu ya 7 – “……Imedhibitishwa umepokea Tsh300,000 kutoka kwa ……”!
Simu ya 8 – “Me too”!
Simu ya 9 – “Huu ujumbe ndio ulikuwa unamtumia huyo hawara yako ee, leo utanikoma”!
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahha inakaukweli ndani yake eeHaha ha ha hii hatar sana
Ukwel mtupu aseeHahahahha inakaukweli ndani yake ee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sjui ungefanyaje apo ungelikua ww[emoji1]
Ungekataa mtt wa mfalme ati[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mi ningejifanya shujaaa, ningenshukuru hata alo nisukumaUngekataa mtt wa mfalme ati
Hahaha[emoji28] [emoji1]mi ningejifanya shujaaa, ningenshukuru hata alo nisukuma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
*Bibi kizee alikuwa kwenye meli.amevaa kofia na upepo mkali ukipuliza, akashikilia kofia kwa mikono miwili. huku gauni likapeperushwa na hakuvaa chupi. mtu mmoja akamuuliza,kwann unashikilia kofia wakat chini kukowazi hujavaa chupi? bibi akajibu: UCHI NINAO ZAID YA MIAKA 85.KOFIA NIMENUNUA JANA TU....*[emoji2][emoji23][emoji2][emoji23]
Hahahaa kofia ikienda ndo imeenda[emoji1] [emoji28] uko chini kila siku kupoHahahahaha lol! Uchi wake hauna thamani kama ya kofia! Labda angekuwa na miaka 25 angeusitiri uchi na kuacha kofia ipeperushwe lol!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duuhJana nilikula bakuli 4 za maharage.Demu wangu akanipigia kunialika chakula cha jioni home kwao.Nilipofika akanikumbatia kwa bashasha vile hakuamini kama ningeenda,akasema"bby nina suprise kwako,fumba macho"nikafumba.Akanifunga kitambaa usoni kisha akaniongoza hadi kwenye kiti changu mezani.Kabla hajanifungua kitambaa cm yake ikaita chumbani,akaomba aende kupokea ila akanisisitiza nisifungue kitambaa,akaenda..Yale maharage nilokula yakaanza kunikoroga tumbo,likajaa gesi.Nikajibinua kwa kushoto nikapunguza gesi kidogo.Harufu ilikuwa mbaya nikatoa leso mfukoni nikapungapunga hewa kupunguza harufu,masikio yakiwa makini kusikiliza maongezi ya cm chumbani.Nikajibinua upande wa pili nikaachia makombora km matatu ya kimyakimya.Harufu ilikuwa mbaya zaidi ya kabej na maharage yalochacha!nikachukua leso nikapukutapukuta hewa.Mara cm ikakata huko chumbani,akaja,akaniulza"bby hujatoa kitambaa kwel?"kwa uso usio na hatia nikamjibu"hapana bby",akanifungua.Ghafla wageni 12 akiwemo baba na mamaake wameketi huku wameziba pua!!
ndio mimi huyo mzee hapo[emoji23] [emoji23]