STRESS FREE: Vichekesho on fleak! Weka na cha kwako hapa tufurahi

Mtoto: mama kwanini nywele zako zina mvi?

mama: mwanangu kwa sababu yako, kila siku ukifanya utundu na ukiwa na tabia mbaya, nywele zangu hupata mvi.

mtoto: anhaaa! ndio maana bibi ana mvi nyingi sanaa!

mama: hebu toka hapa ntakuchapa
Hahahaha nalo neno[emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…