Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,824
- Thread starter
- #201
Hahaha nlijua tu[emoji23] [emoji23] [emoji12]ndio mimi huyo mzee hapo
safi sana [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha nlijua tu[emoji23] [emoji23] [emoji12]ndio mimi huyo mzee hapo
safi sana [emoji23]
iiiihihihihihihiiiiiii!Hahaha nlijua tu[emoji23] [emoji23] [emoji12]
Hahaha enjoy[emoji12] [emoji12] nyingine!! au umetosheka?iiiihihihihihihiiiiiii!
kumbe ushanijulia sasa eeh.
hayo ndio mambo yangu na kipind hiki kigumu hivi
kama anao atumie tuu, hatuna ze machine teh teh.[emoji23] [emoji23] ivi ungekubali wewe
Hahaaaha kumbekama anao atumie tuu, hatuna ze machine teh teh.
hiyo inaonekana ni kipindi Magu hajaingia kwenye power, maana kika mtu alikuwa anafanya utani kazini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha nambie
Naisubirii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ngoja na mimi nilete moja hapa
Hahahaha nalo neno[emoji23] [emoji23]Mtoto: mama kwanini nywele zako zina mvi?
mama: mwanangu kwa sababu yako, kila siku ukifanya utundu na ukiwa na tabia mbaya, nywele zangu hupata mvi.
mtoto: anhaaa! ndio maana bibi ana mvi nyingi sanaa!
mama: hebu toka hapa ntakuchapa
[emoji23]Hahahaha nalo neno[emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MAPENZI NI MATAMU ILA ACHA KIHEREHERE..
Ama hakika mapenzi ni matamu sana ukimpata akupendaye mkashibana. Kumjali mpenzi wako ni jambo la msingi sana lakini ni vizuri kuepuka kuwa na kiherehe sana. Jamaa mmoja alijikuta taabani mara baada ya kumkurupukia mpenzi wake.
Jamaa mmoja alikuwa na demu wake ambaye alikuwa anamjali sana kwa kila kitu. Yule demu alikuwa kila anachotaka jamaa anatoa. Kwa ufupi jmaa alikuwa anamjali sana demu wake.
Siku moja kama kawaida jamaa aliamka asubuhi na kuchukua simu yake kisha akampigia mpenzi wake wa moyo.
Jamaa: Mambo baby umeamkaje?
Demu: Siko poa sana…
Jamaa: Nini mbaya mpenzi?
Demu: Nina mimba halafu sikupanga iwe sasa!
Jamaa: Khaaa! Mbona tulikuwa tunatumia kinga umepataje?
Demu: Kani nani kasema ya kwako?
Hivi navyooongea jamaa kakimbizwa Muhimbili kazimia kwa mshtuko! Kweli mapenzi ni matamu! Ungekuwa wewe ungefanyaje aisee?[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha,kajuta kumwambia mwanae sababu ya kua na mvi maana imemrudia yy[emoji23]
dogo kamzidi maza ujanja maza
Hahaha umeonaee
Unamambo ww[emoji13]