stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,226
- 5,147
[emoji1][emoji28]cheka uongeze umri wa kusihi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] aiseeee mtanivunja
Mbavu aiseee
Hahahaha usitusingizie*MENDE anamuogopa PANYA, PANYA anamuogopa sana PAKA, na PAKA anamwogopa MBWA...wakati huo huo MBWA anamwogopa MWANAUME na kumbe MWANAUME anamwogopa MWANAMKE...sasa hutaamini nikikwambia MWANAMKE anaogopa #MENDE#*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
WANAWAKE BANAA SOMETIME WANACHOSHA[emoji124][emoji124][emoji124]
Hahahaaa, kamata fursa[emoji1]
[emoji23][emoji23]Dezo tuHahahaaa, kamata fursa
Hujambo my Queen?[emoji1]
Sjambo za kwakoHujambo my Queen?
Ukiwa wewe mzima hata kama ninaumwa ninapona.Sjambo za kwako
Hahahahaha...Nampenda mke wangu!Wanawake banaaaa... Tusaidie Baaba
Jamaa kaamka asubuhi kavaa track suit akamuamsha mkewe
MUME:Amka twende jogging mke wangu? [emoji4]
MKE: Alaaa kwa hiyo una maana mi tipwatipwa?[emoji19]
MUME: Hapana si hivyo jogging ni nzuri kwa afya. [emoji54]
MKE: Kwa hiyo una maana mi mgonjwa? [emoji53]
MUME: Basi yaishe endelea kulala
MKE: Kwa hiyo unaniona mi mvivu sana sio?
MUME:Hujanielewa mpenzi wangu sikuwa na maana hiyo baby [emoji47]
MKE:Kwa hiyo mie mjinga mpaka nashindwa kukuelewa?[emoji40]
MUME:Jamani mi sijasema hilo[emoji20]
MKE:Kwa hiyo mie muongo?
MUME:Chonde tusiendeleze haya asubuhi namna hii[emoji21]
MKE:Kwa hiyo mie ndio naendeleza ugomvi?[emoji36]
MUME:Sikia we lala mie naenda jogging.[emoji43]
MKE:Ndio zako hizo mambo yote unafanya peke yako hunishirikishi"
MUME:Unajua nimeanza kusikia kizunguzungu
MKE: Unaona nikiongea kidogo unakimbilia kuumwa, mbinafsi sana wewe......
Hahaha kuna kaukweli hapo si bure[emoji1][emoji12]Hahahahaha...Nampenda mke wangu!
Wanawake wengi mna dramas mpaka sio poa, wife huwa ananikera na ghubu lake sana ikafikia stage nikawa naona nateseka nae tu hamna raha, Juzi kati nikapata kasafari ka almost siku 5 mbali na bibie nikauchuna no contact. Siku narudi amenimiss mbaya ananambia alikuwa anakonda hana mtu wa kumsumbua, nikajikuta nafurahi tu anaanzisha mechi siku 3 mfululizo na kupikiwa vitu special hadi nikashangaa.Hahaha kuna kaukweli hapo si bure[emoji1][emoji12]