sharifa mohamedi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 247
- 266
Umetukamata*Wanandoa wa Kijapan wakiwa wanabishana hadharani*
*Husband: Takamushi jiku.*
*Wife :hashi jiku mishihe*
*Husband: inamoto kushini hat a pi*
*Wife: jejeta takuna mota shinita*
*Husband: kituya sitina kutara*.
*Wife: totori yatika miniya*
*Uko busy kusoma utadhani unaelewa kijapan kuwaga serious saa zingine*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahaJAMAA,,, hapa ni kituo cha polic???,,,,[emoji67][emoji439]FFU, ,ndiyo tukusaidie nini????JAMAA,, mimi ni kipofu[emoji58],,,,, [emoji67][emoji439]FFU,,,sasa unataka tukununulie macho[emoji102]!!???? JAMAA,,,hapana[emoji847] nataka nifanye fujo ili nione[emoji15],,,, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha au gwajima huyoMchungaji: Pepo toka
Pepo akajibu: stoki
Mchungaji: Toka kwa jina la Yesu
Pepo: Stoki
Mchungaji: Nimesema toka kwa jina la Yesu
Pepo: Nimetumwa nije nikae kwa mtu huyu ili kesho aokote milioni 100.
Mchungaji kusikia hivyo akasema "Nimesema
toka uniingie mimi"
waumini:Aaaa.
CHEZEA PESA WEYE.[emoji2][emoji2][emoji2]♂♂♂♂♂♂
Uwi hiyo kari
Hahahahaa nilifikir am yangu ya wiko n ya ajabu kumbe zipo bhna*Mwalimu*: Taja aina tano ya misimu
*Mwanafunzi*:Minokia, Mitechno, Miinifix, Misumsang na Miwiko [emoji3]
Na unavyo toa ndyo watu wanavyo kinaiKadri unavyopanua ndivyo watu wanavyozidi kutamani