STRESS FREE: Vichekesho on fleak! Weka na cha kwako hapa tufurahi

STRESS FREE: Vichekesho on fleak! Weka na cha kwako hapa tufurahi

*Wanandoa wa Kijapan wakiwa wanabishana hadharani*

*Husband: Takamushi jiku.*
*Wife :hashi jiku mishihe*
*Husband: inamoto kushini hat a pi*
*Wife: jejeta takuna mota shinita*
*Husband: kituya sitina kutara*.
*Wife: totori yatika miniya*

*Uko busy kusoma utadhani unaelewa kijapan kuwaga serious saa zingine*

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umetukamata
 
JAMAA,,, hapa ni kituo cha polic???,,,,[emoji67]‍[emoji439]FFU, ,ndiyo tukusaidie nini????JAMAA,, mimi ni kipofu[emoji58],,,,, [emoji67]‍[emoji439]FFU,,,sasa unataka tukununulie macho[emoji102]!!???? JAMAA,,,hapana[emoji847] nataka nifanye fujo ili nione[emoji15],,,, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha
 
Mchungaji: Pepo toka

Pepo akajibu: stoki

Mchungaji: Toka kwa jina la Yesu

Pepo: Stoki

Mchungaji: Nimesema toka kwa jina la Yesu

Pepo: Nimetumwa nije nikae kwa mtu huyu ili kesho aokote milioni 100.

Mchungaji kusikia hivyo akasema "Nimesema
toka uniingie mimi"
waumini:Aaaa.
CHEZEA PESA WEYE.[emoji2][emoji2][emoji2]‍♂‍♂‍♂‍♂‍♂‍♂
Hahaha au gwajima huyo
 
48a70bfdf4ee0bea1e3105c508cdecfe.jpg
Bi mkubwa kwa raha zake
Hapendi kuwashwa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
*Mwalimu*: Taja aina tano ya misimu
*Mwanafunzi*:Minokia, Mitechno, Miinifix, Misumsang na Miwiko [emoji3]
 
Mambo vipi? unajua wewe unajitafutia matatizo bure unapoongea maneno uwe unafikiria sio unajilopokea ovyo utakuja kunitafutia matatizo bure ndugu maneno uliyoongea nimeyapata na sijapenda kiukweli,mi nakuheshimu sana na tangu tumejuana sijawahi kukosana na wewe hata siku moja kama huna vitu vya kuongea uwe unakaa kimya, kuliko ulivyofanya,sio vizuri.Ni nani amekutuma umwambie Rais Magufuli eti mimi nafaa kuwa mkuu wa mkoa?
Akili yangu naijua mwenyewe inamatatizo ya Problem[emoji1321]
 
Mlevi alipanda daladala, konda akamwambia tabia yako ya ulevi huwez kwenda PEPONI. Mlevi akajibu kumbe mnakwenda PEPONI, nishusheni Mimi nakwenda Mbagala.....[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
WANAUME NA ENZI ZETU!
Enzi za [HASHTAG]#Mwalimu[/HASHTAG] wanaume tulipewa majina stahiki kama vile
MUME WANGU au BABA WATOTO

Enzi za [HASHTAG]#Mwinyi[/HASHTAG] wanaume tuliitwa MABWANA utasikia mwanamke ana muhadisia mwenzie kapata [HASHTAG]#Bwana[/HASHTAG].

Enzi za [HASHTAG]#Mkapa[/HASHTAG] wanaume tukaitwa MABUZI
Mwanamke ana msimulia mwenzake nime pata [HASHTAG]#Buzi[/HASHTAG].

Enzi za [HASHTAG]#Kikwete[/HASHTAG] tukapewa majina mazuri na matamu hata ukisikia unafurahi moyoni,
[HASHTAG]#Baby[/HASHTAG], Darling,sweety,Honey na mengine mengi.

Enzi hii ya [HASHTAG]#Magufuli[/HASHTAG] sasa!
Pesa hazionekani wanaume tume vurugwa maisha magumu
Wanatuita [HASHTAG]#WAHENGA[/HASHTAG]
Wanawake wa Bongo Mungu anawaonaaaa.

Wanaume kwa Vile Pesa Ngumu,tuna kauli yetu tunakwambia
Mwanaume [HASHTAG]#MASHINE[/HASHTAG]
Dadeki mta elewaa tuuuh!


*Watu Bwana* [emoji23][emoji23][emoji23]
 
*Bongo muvi bhana et jambazi kamnyoshea mtu Bastola afu anamwambia ..... NITAKUCHINJAAAA..*

```Nimezima Tv ..nime0na ningie JF tu
Kubadilishana mawazo na wakuu wenzangu[emoji1321]
 
Back
Top Bottom