Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,824
- Thread starter
- #21
Hapa ngoma dro kwa msichana na mvulana
Phone call
gal: hellow
Boy: sweety mambo vipi?
Girl: poa
Boy: utakuwa free weekend? nilikuwa nataka uje nyumbani
Girl: oh sorry ctoweza kuja sababu kuna haruc ya aunt yangu
Boy: kama ni hivyo sawa nilikuwa nataka nikufanyie sapraiz nimekununulia BLACKBERRY.
Girl: oh ucjal ntakuja na hata ntalala huko huko Boy: na haruc je?
Girl: nilikuwa nakutania
Boy: hata mi nilikuwa nakutania[emoji28][emoji23][emoji38]