Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,824
- Thread starter
-
- #21
Mi nikianza kufurumusha vyangu, ntapeleka foleni hospitali.[emoji38][emoji38]Vinakuja haviishi na ww uteletee apa tunakungoja[emoji23][emoji3]
Hahahaha vilete[emoji23][emoji23]ndo twavovitaka ivo[emoji38]Mi nikianza kufurumusha vyangu, ntapeleka foleni hospitali.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]ACHA MASWALI YASIYO YA MSINGI
Jamaa mmoja kwa kupenda vya kunyonga siku moja aliingia choo cha stendi bila kupenda. Tabia yake ya kuuliza maswali yasiyo na msingi ilimtokea puani na kumwacha mdogo kama kanyeshewa mvua ya mawe.
John: Cuzo, nasikia siku hizi unafanya kazi bakery.
Cuzo: Ndiyo, nafanya job kwa bakery bana.
John: Mbona hujawahi niletea mkate hata mmoja bana?
Cuzo: Dada yako yule anafanya kazi airport amewahi kuja na ndege kwa nyumba? Ehee! Wewe mwenyewe wafanya kazi mortuary, ushawahi kuja na maiti? Tafadhari usinikasirishe, sijalipwa mshahara mwezi wa tatu huu![emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja kwanza niwaachie watu wapumue baada ya dinner. Nahofia wataachia ushuzi kwa vicheko... imajin aliyetoka kula ubwabwa na maharage wakati asubuhi alikula yai la kuchemsha... sipendi ku pollute oksijeni ya Mungu baba mwenyezi mwingi wa rehemaHahahaha vilete[emoji23][emoji23]ndo twavovitaka ivo[emoji38]
Hahahaha nalo neno[emoji23]Ngoja kwanza niwaachie watu wapumue baada ya dinner. Nahofia wataachia ushuzi kwa vicheko... imajin aliyetoka kula ubwabwa na maharage wakati asubuhi alikula yai la kuchemsha... sipendi ku pollute oksijeni ya Mungu baba mwenyezi mwingi wa rehema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji12]
Hahahah[emoji23]duhh kazi kwelkwelJana nilikula bakuli 4 za maharage.Demu wangu akanipigia kunialika chakula cha jioni home kwao.Nilipofika akanikumbatia kwa bashasha vile hakuamini kama ningeenda,akasema"bby nina suprise kwako,fumba macho"nikafumba.Akanifunga kitambaa usoni kisha akaniongoza hadi kwenye kiti changu mezani.Kabla hajanifungua kitambaa cm yake ikaita chumbani,akaomba aende kupokea ila akanisisitiza nisifungue kitambaa,akaenda..Yale maharage nilokula yakaanza kunikoroga tumbo,likajaa gesi.Nikajibinua kwa kushoto nikapunguza gesi kidogo.Harufu ilikuwa mbaya nikatoa leso mfukoni nikapungapunga hewa kupunguza harufu,masikio yakiwa makini kusikiliza maongezi ya cm chumbani.Nikajibinua upande wa pili nikaachia makombora km matatu ya kimyakimya.Harufu ilikuwa mbaya zaidi ya kabej na maharage yalochacha!nikachukua leso nikapukutapukuta hewa.Mara cm ikakata huko chumbani,akaja,akaniulza"bby hujatoa kitambaa kwel?"kwa uso usio na hatia nikamjibu"hapana bby",akanifungua.Ghafla wageni 12 akiwemo baba na mamaake wameketi huku wameziba pua!!