STRESS FREE: Vichekesho on fleak! Weka na cha kwako hapa tufurahi

Kama ulikuepo vile[emoji769]
 
[emoji80] [emoji134]
 
[emoji80] [emoji134]
 
WASHUA NA SIMU ZA KUPANGUSA[emoji23][emoji38]
Wazee wengi ni watata na wanakuwa manunda sana wakiwa nyumbani. Sio rahisi sana kupiga stories na dingi kila wakati.

Lakini siku hizi muda pekee ambao unaweza kuzoeana na dingi ni pale unapomfundisha kutumia simu ya smartphone yaani simu za kupangusa.

Huwa wanakuwa wapole sana aisee yaani hapa unaweza hata kumwagiza maji ya kunywa na akakuletea huku umepiga nne kwenye kochi!

Chezea simu za kupangusa…………………….

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
[emoji12] [emoji23]
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] Alex noumaaa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] daaaah hiii weka mbali na watoto dah siyo mchezo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] jmn duuu maharage siyo mchezooo yanamkosesha jamaa mke hivihivi
 
Duuu hatar
 
Machizi walikuwa wamepanga Kutoroka... Wakasema watamvizia Mlinzi wa geti alafu watamnyongaa...!! Sasa ilee wamefika getini wakakuta mlinzi Hayupoo...!! Wakasemaa oohoo turudi jamani Mipango yote imeharibikaa...Tukajipangee upyaa...!!
 
Machizi walikuwa wamepanga Kutoroka... Wakasema watamvizia Mlinzi wa geti alafu watamnyongaa...!! Sasa ilee wamefika getini wakakuta mlinzi Hayupoo...!! Wakasemaa oohoo turudi jamani Mipango yote imeharibikaa...Tukajipangee upyaa...!!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mambo ya Mabinti haya

Binti: Hallow mpenzi, Mambo

Jamaa: Poa baby

Binti:Uko wapi?

Jamaa: Niko town napata lunch

Binti: Wow unarudi saa ngap? Nina njaa dear naomba uniletee msosi

Jamaa: Narudi baada ya nusu saa nikuletee nini?

Binti: Niletee chipsi kuku, soseji, mayai manne ya kukaangwa pembeni, baga, piza, coke take away baridi, mkate wa moto kwenye ile bekari ya wapemba na maji ya kunywa ya kiimanjaro.

Jamaa:Umesahau viti, meza, masufuria, sahani na beseni na vijiko.[emoji16]

Binti: Kwanini dear?

Jamaa: Naona hutaki kula unataka kufungua hoteli[emoji15][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…