STRESS FREE: Vichekesho on fleak! Weka na cha kwako hapa tufurahi

Kama mpo shule kila atakae nunua ashikilimu lazima kummegea mwenye mpira[emoji41]
 
[emoji23]Nakumbuka nilivokua nasoma shule ya msingi darasa la pili[emoji23]
asubuh kabla ya kwenda mstarini kuna wamama ntilie wanauza ubuyu wa maji,kachori na vinginevngn.
Nkaenda nkanunua ubuyu wa maji nkaanza kula pemben nmekamata ice cream yang,mara kengele ikapigwa ya kwenda mstarini.
Tulipofika mstarini tukaambiwa tukae attention kwaajil ya wimbo wa taifa[emoji23][emoji23].
Mm bado nmekamata ubuyu na ice cream nakula ,head mistress ananipiga jicho tu la upandeupande,nkawa sishuuliki sana,wimbo wa taifa unaimbwa mpk ukaisha.
Ulipoisha tu nkaitwa na headmistress, we mwarabu uko nyuma ulieshikilia ubuyu na ice cream ebu njoo apa mbele[emoji3][emoji23],sitosahau io siku.
Ile nafika tu nlistukia bao moja la uhakika la shavuni[emoji23][emoji23][emoji23]nlihisi kizunguzungu,siku ya pili watu wakiimba wimbo wa taifa ww kula tena sawa??[emoji23][emoji23]nkamuitikia sawa nkastukia bao la pili hahaha[emoji23][emoji23]nkajikaza tu.
Akasema haya rudi siku ya pili kula tena sawa??nkanyamaza kimya sikumuitikia nkarud kimya kimya huku mashav yang yakiwa na alama ya vidole[emoji23][emoji23]alaf nkawa nachekea marafiki zangu kama vile sjaumia kitu, na alama zang nkakaa kimya[emoji23][emoji23]yale mabao yalinitia kizunguzungu sitoyasahau.
 
ningekuwepo ningekucheka siku nzima
 
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji134] [emoji134] [emoji134] Kumbe Ubazazi hukuanza Leo eeeh?

Hahaha,sasa ulimchunguliaje wakat mpo shule[emoji45]uyo mwalim alikua navaa darasani[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
sikuwa bazaz

shule yetu ilikuwa nyumba za walim ziko jirani, sasa mimi nilipewa mkate hom nikaenda kujificha karibu na nyumba yake ili nile peke yangu, skujua kama jiran na dirisha lake ndio chumba chake na alikuwa amejiachia anatoka kukoga nadhan, ile nimesha maliza ki mkate changu ni inuke nisepe mwalim huyu hapa naked mimi huyu hapa nimetoa macho, mwalim akapiga bonge ya ukelele mimi ndukiii[emoji125]
lakin nilisepa fasta kwani haikuwa lengo langu kumchungulia.

ila sku hiyo nilibanikwa kama nyama hapo shule [emoji23]
 
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo hupewi hata chance ya kujitetea,na ww ulitulia kimya ulivosingiziwa hahaha[emoji3][emoji23][emoji23]
 
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo hupewi hata chance ya kujitetea,na ww ulitulia kimya ulivosingiziwa hahaha[emoji3][emoji23][emoji23]
nilikataa kabsaa kuwa sijamchungulia na wala sijamuona mwalim, but alipo piga ule ukelele walim wa nyumba za jiran waliskia na wengine walisema waliniona nikikimbia.
nilishindwa kubishana na tcha kwa kuwa hakuna alo kuwa na mimi at least tujitetee na yeye wenzie walimsapot ila kipigo nilicho chezeshwa siji sahau
 
Duhh,walikuchangia au[emoji23][emoji23]mana kuna ile kupigwa na mwalim uliemkosea na ile kuchangiwa hahaha
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Duhh,walikuchangia au[emoji23][emoji23]mana kuna ile kupigwa na mwalim uliemkosea na ile kuchangiwa hahaha
walinichangia in a humiliating way
walim wa kiume haswa kwa kuwa kuna tcha mmoja wao yule alikuwa mchepuko wake.
yaan nili ingia ofisin saa 4 nilitoka saa 7
nili lilia kshenz had yule ticha mwenyewe akaanza kunionea huruma. [emoji23]
yaan inafika stage unalia halaf ukipgwa tena una muangalia tuu anaye kupiga na kutulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…