Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji13]Ulikua wapi tangu juzii[emoji3][emoji33]khaaa!! mmefika kote huku!!
teh teh[emoji13]Ulikua wapi tangu juzii[emoji3][emoji33]
Kama mpo shule kila atakae nunua ashikilimu lazima kummegea mwenye mpira[emoji41]Unakumbuka enzi za utoto
SHERIA ZETU ZA MPIRA ZA UTOTONI:
1.Mwenye mpira Lazima acheze ata kama hajui mpira
2.Dogo mnene Lazima awe golikipa
3.Mwenye mpira ataamua nan acheze na nan asicheze
4.kama haujashiriki kufuma mpira unaweza ucpate namba
5.Ukichaguliwa mwishon ujue uwezo wako ni mdogo kuliko wote
6.Mwenye mpira akikaclika mpira umeisha
7.Inaruhusiwa kubadili golikipa kama ikitokea penat na baada ya apo ataendelea kudaka yule yule
8.Mechi itaisha pale giza linapoingia
9.wale ambao wamekosa namba kazi yao ni kufata mpira ukitoka
10.yule mtaalam wa soka {KM MIMI } huwa hakoc namba ata cku moja!
Ukiikumbuka lazima utabasam![emoji1][emoji1][emoji1][emoji23]
ningekuwepo ningekucheka siku nzima[emoji23]Nakumbuka nilivokua nasoma shule ya msingi darasa la pili[emoji23]
asubuh kabla ya kwenda mstarini kuna wamama ntilie wanauza ubuyu wa maji,kachori na vinginevngn.
Nkaenda nkanunua ubuyu wa maji nkaanza kula pemben nmekamata ice cream yang,mara kengele ikapigwa ya kwenda mstarini.
Tulipofika mstarini tukaambiwa tukae attention kwaajil ya wimbo wa taifa[emoji23][emoji23].
Mm bado nmekamata ubuyu na ice cream nakula ,head mistress ananipiga jicho tu la upandeupande,nkawa sishuuliki sana,wimbo wa taifa unaimbwa mpk ukaisha.
Ulipoisha tu nkaitwa na headmistress, we mwarabu uko nyuma ulieshikilia ubuyu na ice cream ebu njoo apa mbele[emoji3][emoji23],sitosahau io siku.
Ile nafika tu nlistukia bao moja la uhakika la shavuni[emoji23][emoji23][emoji23]nlihisi kizunguzungu,siku ya pili watu wakiimba wimbo wa taifa ww kula tena sawa??[emoji23][emoji23]nkamuitikia sawa nkastukia bao la pili hahaha[emoji23][emoji23]nkajikaza tu.
Akasema haya rudi siku ya pili kula tena sawa??nkanyamaza kimya sikumuitikia nkarud kimya kimya huku mashav yang yakiwa na alama ya vidole[emoji23][emoji23]alaf nkawa nachekea marafiki zangu kama vile sjaumia kitu, na alama zang nkakaa kimya[emoji23][emoji23]yale mabao yalinitia kizunguzungu sitoyasahau.
[emoji23][emoji23]Nlichekwa sana na mm nkaunganisha kicheko,kwaio hata watu wakipita hawajui anachekwa nani[emoji23]ningekuwepo ningekucheka siku nzima
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]Nlichekwa sana na mm nkaunganisha kicheko,kwaio hata watu wakipita hawajui anachekwa nani[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
stail ya ticha alo kuitia ndio nimeikubali.
eti we muarab kuja hapa
mimi nikiwa shule mwalim aliwahi kusema nilimchungulia akiwa ana vaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha,sasa ulimchunguliaje wakat mpo shule[emoji45]uyo mwalim alikua navaa darasani[emoji23]mimi nikiwa shule mwalim aliwahi kusema nilimchungulia akiwa ana vaa
asee haikuwa kesi ndogo hiyo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji134] [emoji134] [emoji134] Kumbe Ubazazi hukuanza Leo eeeh?mimi nikiwa shule mwalim aliwahi kusema nilimchungulia akiwa ana vaa
asee haikuwa kesi ndogo hiyo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] Alex noumaaa
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji134] [emoji134] [emoji134] Kumbe Ubazazi hukuanza Leo eeeh?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha,sasa ulimchunguliaje wakat mpo shule[emoji45]uyo mwalim alikua navaa darasani[emoji23]
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo hupewi hata chance ya kujitetea,na ww ulitulia kimya ulivosingiziwa hahaha[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
sikuwa bazaz
shule yetu ilikuwa nyumba za walim ziko jirani, sasa mimi nilipewa mkate hom nikaenda kujificha karibu na nyumba yake ili nile peke yangu, skujua kama jiran na dirisha lake, ile nimesha maliza ki mkate changu ni inuke nisepe mwalim huyu hapa naked mimi huyu hapa nimetoa macho, mwalim akapiga bonge ya ukelele mimi ndukiii[emoji125]
lakin nilisepa fasta kwani haikuwa lengo langu kumchungulia.
ila sku hiyo nilibanikwa kama nyama hapo shule [emoji23]
nilikataa kabsaa kuwa sijamchungulia na wala sijamuona mwalim, but alipo piga ule ukelele walim wa nyumba za jiran waliskia na wengine walisema waliniona nikikimbia.Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo hupewi hata chance ya kujitetea,na ww ulitulia kimya ulivosingiziwa hahaha[emoji3][emoji23][emoji23]
Duhh,walikuchangia au[emoji23][emoji23]mana kuna ile kupigwa na mwalim uliemkosea na ile kuchangiwa hahahanilikataa kabsaa kuwa sijamchungulia na wala sijamuona mwalim, but alipo piga ule ukelele walim wa nyumba za jiran waliskia na wengine walisema waliniona nikikimbia.
nilishindwa kubishana na tcha kwa kuwa hakuna alo kuwa na mimi at least tujitetee na yeye wenzie walimsapot ila kipigo nilicho chezeshwa siji sahau
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
sikuwa bazaz
shule yetu ilikuwa nyumba za walim ziko jirani, sasa mimi nilipewa mkate hom nikaenda kujificha karibu na nyumba yake ili nile peke yangu, skujua kama jiran na dirisha lake ndio chumba chake na alikuwa amejiachia anatoka kukoga nadhan, ile nimesha maliza ki mkate changu ni inuke nisepe mwalim huyu hapa naked mimi huyu hapa nimetoa macho, mwalim akapiga bonge ya ukelele mimi ndukiii[emoji125]
lakin nilisepa fasta kwani haikuwa lengo langu kumchungulia.
ila sku hiyo nilibanikwa kama nyama hapo shule [emoji23]
walinichangia in a humiliating wayDuhh,walikuchangia au[emoji23][emoji23]mana kuna ile kupigwa na mwalim uliemkosea na ile kuchangiwa hahaha