Stress Free Zone

Sijawahi kumsumbua Shunie, Shunie nimetoka naye mbali hasa kwenye story ya Peniela, ambayo ni story pekee hapa Jf niliifatilia mwanzo mpaka mwisho. Baada ya hapo nikawa mwalimu wake kwa mambo kadha wa kadha, sina kawaida ya kusumbua wala kukera watu.
Kweli kabisa nakuheshimu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…