Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Ndio hivyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
JF bana.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hivyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
JF bana.....
Aisee nakumbuka ulikua na no yangu ebu niambie unataka kuvumbua nini maswali hayo yoteIv Unajua Nashindwa Kukuweka Katika Gundi Lip
Msichana
Mwanamke Ambaye Hajaolewa Bado Anatafuta
Mmama Mwenye Watoto
yani Najikuta Najiuliza Maswali Mengi Ambayo Hata Sipat Majib
Cha Ajabu Zaid # Yako Nilikuwa Nayo Ila Sikuwa Kukuiliza Haya Maswali
Najutia Ile Nafasi Kidume Nikashindwaga Hata Kusema Neno Nakupenda ShunieAisee nakumbuka ulikua na no yangu ebu niambie unataka kuvumbua nini maswali hayo yote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sasa ungenipenda kile kivuli ulichokutana nacho auNajutia Ile Nafasi Kidume Nikashindwaga Hata Kusema Neno Nakupenda Shunie
Ah ah ah ha ah ah ah Aya Maisha Haya
Safari Moja Huleta Safari Nyingine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sasa ungenipenda kile kivuli ulichokutana nacho au
Ahahahhh we nisingekutumia picha naanzaje nizikute umezianzishia thread ungepambana na kivuli mpaka mwishoSafari Moja Huleta Safari Nyingine
Kama Ulinipa # Yako Bass Naiman Hata Picha Zako Ungenipa Tuuu
Iv Unajua Mpaka Sasa Najiuliza Nilipatwa Na Nin.....???
Shunie Hujui TuuuAhahahhh we nisingekutumia picha naanzaje nizikute umezianzishia thread ungepambana na kivuli mpaka mwisho
Sijui nini bwana Ambiele una mambo za kitoto sana hata age yako utakuwa mdogo sanaShunie Hujui Tuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Najutia Ile Nafasi Kidume Nikashindwaga Hata Kusema Neno Nakupenda Shunie
Ah ah ah ha ah ah ah Aya Maisha Haya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sasa ungenipenda kile kivuli ulichokutana nacho au
AiseeSafari Moja Huleta Safari Nyingine
Kama Ulinipa # Yako Bass Naiman Hata Picha Zako Ungenipa Tuuu
Iv Unajua Mpaka Sasa Najiuliza Nilipatwa Na Nin.....???
Hii tabia ya kuanikana humu baada ya kujuana na kuonana siipendi aiseeAhahahhh we nisingekutumia picha naanzaje nizikute umezianzishia thread ungepambana na kivuli mpaka mwisho
Jichekee tu maana hakuna namna[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii ndio inatufanya watu tunaigopa jf na kufunga pmHii tabia ya kuanikana humu baada ya kujuana na kuonana siipendi aisee
Kweli.Hii ndio inatufanya watu tunaigopa jf na kufunga pm
Ni kweliKweli.
Hata kukaa kimya nayo ni suluhu
Shida Mama Angu Kipindi Kile kulikuwa Na Watu wanakusumbua Sumbua Kias Kwamba Nikasema Acha Tuuu NiwaacheAhahahhh we nisingekutumia picha naanzaje nizikute umezianzishia thread ungepambana na kivuli mpaka mwisho
Ndio Ivyo Ndugu Yangu Hakuna JinsiHii tabia ya kuanikana humu baada ya kujuana na kuonana siipendi aisee
Kwangu Ni Ushamba Tuu Kama Mtu Amekukataa Si Bora Ukae Kimya Tuu Kuliko Kuanikana Kishamba ShambaHii ndio inatufanya watu tunaigopa jf na kufunga pm
Fakalava ni mshikaji wangu mpaka leo huwa hakati tamaa na mm jamaan namkubali sana angekuwa mwanaume mwingine angeninua na kuninua ninavyomjibu lakini yeye ni tofauti bado ni rafiki siku hizi amepotea jf huwa namuona siku moja moja sanaShida Mama Angu Kipindi Kile kulikuwa Na Watu wanakusumbua Sumbua Kias Kwamba Nikasema Acha Tuuu Niwaache
Mf : Fakalava