Stress Free Zone

Stress Free Zone

Iv Unajua Nashindwa Kukuweka Katika Gundi Lip

Msichana

Mwanamke Ambaye Hajaolewa Bado Anatafuta

Mmama Mwenye Watoto

yani Najikuta Najiuliza Maswali Mengi Ambayo Hata Sipat Majib

Cha Ajabu Zaid # Yako Nilikuwa Nayo Ila Sikuwa Kukuiliza Haya Maswali
Aisee nakumbuka ulikua na no yangu ebu niambie unataka kuvumbua nini maswali hayo yote
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sasa ungenipenda kile kivuli ulichokutana nacho au
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Shida Mama Angu Kipindi Kile kulikuwa Na Watu wanakusumbua Sumbua Kias Kwamba Nikasema Acha Tuuu Niwaache

Mf : Fakalava
Fakalava ni mshikaji wangu mpaka leo huwa hakati tamaa na mm jamaan namkubali sana angekuwa mwanaume mwingine angeninua na kuninua ninavyomjibu lakini yeye ni tofauti bado ni rafiki siku hizi amepotea jf huwa namuona siku moja moja sana
 
Back
Top Bottom